TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Macho ya Dunia yapo Zanzibar, CCM wanapenda Kujidanganya, Ufidhuli na Jeuri yao ya Kupokonya Madaraka na Utawala kwa Nguvu Vilitia fora 2015. Kumekuwapo na Kujidanganya, Iwapo Kutatokea Machafuko ya Umwagaji damu Zanzibar, Jecha (Aliyemtuma) na Shein watakamatwa na ICC. Waombe sana Kwa Mungu au shetani wao, kusitokee machafuko Zanzibar.