Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,928
- 5,615
Saa za Zanzibar lazima zinarudi nyuma wakati za wengine zinaenda mbele. Haiwezekani kisiwa maarufu kwa utalii kikataze watu kupika na kula chakula mchana hata kama umejifungia ndani. Sasa hao watalii watakula hewa? Kwanini tulazimishane kufunga? Wagonjwa inakuwaje?
Mbaya zaidi unakamatwa na kupigwa na raia, sio vyombo vya dola. Sio haki wewe umeamka saa kumi na moja umekula, halafu inafika saa saba mchana unapiga watu ambao hawakula alfajiri. Ni hali ya kutostaarabika kabisa. Zanzibar badilikeni, maana hiyo 'nchi' yenu inapokea wagen wengi sana mnaowategemea kwa ajiri ya mapato ya serikali.