Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,681
- 3,065
Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar.
Tunaenzi vipi muungano wetu?
Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa.
Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano
Ina maana wajumbe kutoka kwenye Baraza la mawaziri anakua mama Samia na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Zanzibar ambae mara nyingi hata huwa haudhurii sana.
========
EDIT - MODERATOR
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Khamis na Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Khamis wameteuliwa kutoka Zanzibar