Zanzibar yaambulia Manaibu Waziri 2 katika Baraza jipya la Mawaziri

Japo Naibu kama yupo ile list ya Mawaziri sijaiona na sijui imebandikwa wapi,inayohusiana na Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Je uteuzi huu unaashiria mwisho wa kuwepo kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ?...
Moja: Muungano upo, na utaendelea kuwepo

Mbili: Wazanzibari ni kama watanzania wengine - hawana hati miliki ya nafasi ya uongozi (kwamba ni lazima wawepo)
 
Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar.
Tunaenzi vipi muungano wetu?

Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa.

Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano
Ina maana wajumbe kutoka kwenye Baraza la mawaziri anakua mama Samia na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Zanzibar ambae mara nyingi hata huwa haudhurii sana.

========
EDIT - MODERATOR

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Khamis na Naibu Waziri wa Fedha, Mwanaidi Ali Khamis wameteuliwa kutoka Zanzibar

Suala ni idadi yao au wanachangia nini kwenye hilo baraza?
 
Moja: Muungano upo, na utaendelea kuwepo

Mbili: Wazanzibari ni kama watanzania wengine - hawana hati miliki ya nafasi ya uongozi (kwamba ni lazima wawepo)

Kuna wajinga wanafikiria kuvunja muungano ni kitu rahisi. Rasimu ya Warioba ilikwama kwa kudharau utukufu wa Muungano wetu.
Zimebaki story tu
 
Back
Top Bottom