Zanzibar wanapunguza gharama za kuunganisha umeme, Tanzania bara tunaongeza

Laki mbili si elfu ishirini na saba. Hivyo wewe unaamini Tsh 27000 zinatosha kukuletea umeme ndani bila Tanesco kufidia gharama zinazozidi. Tanesco imefilisiwa kwa wizi na maamuzi mabovu ya kisiasa. Tanesco lazima iendeshwe kibiashara - angalau wasipate hasara za kujipangia.
Ukiwekewa umeme utautumia bure. Umewahi jiuliza kwa Nini waziri Biteko anawalazimisha GGM kutumia umeme wa Tanesco badala ya generators zao.
 
Yaani Mita ile, waya mkubwa wa 10mm umbali wa mita labda 20, ndo iwe 27000/= ni ajabu!!!!!
Waya wa 4mm huku mtaani ilikuwa 4500 bei ya 2018 sasa hivi nasikia vitu vya umeme vimepanda, kwa umbali huo wa 20 meter, maana yake ni 4500 ×20=90,000 sasa sijui waya wa 10mm unauzwa shilingi ngapi, bado nguzo yaani ulitoe gogo la nguzo kule Mafinga, tena iwe treated, mfano hiyo nguzo uisafirishe hadi Mwanza, then gharama ya mafundi, maana yote hiyo inaingizwa kwenye total cost...utakuja kuona hata hiyo 321,000/= wanayo charge sasa ni sawa na bei chee ya promotion....wenue akili mpo?
Manaopenda mteremko mpo?
Nguzo na nyaya vinakuwa Mali yangu?
 
Nani amekuambia ni kodi zetu? Rea ni udhamini wa nje na hii toka enzi za Kikwete, kodi yako ifanye mambo mangapi, kulipa walimu, wabunge, madaktari, polisi, wanajeshi, iyendeshe miuondo mbinu ya nchi, watu walilishwa matngo poli sana, kipindi cha utawala uliopita na nakuambia sio kwamba walikua hawakopi iaipokuwa waropokaji walitulia maana ukiropoka tu imekula kwako
Unajadili na mtu ambaye hajui hata REA hela zinatoka wapi,
Tuna safari ndefu sana.
 
Yaani Mita ile, waya mkubwa wa 10mm umbali wa mita labda 20, ndo iwe 27000/= ni ajabu!!!!!
Waya wa 4mm huku mtaani ilikuwa 4500 bei ya 2018 sasa hivi nasikia vitu vya umeme vimepanda, kwa umbali huo wa 20 meter, maana yake ni 4500 ×20=90,000 sasa sijui waya wa 10mm unauzwa shilingi ngapi, bado nguzo yaani ulitoe gogo la nguzo kule Mafinga, tena iwe treated, mfano hiyo nguzo uisafirishe hadi Mwanza, then gharama ya mafundi, maana yote hiyo inaingizwa kwenye total cost...utakuja kuona hata hiyo 321,000/= wanayo charge sasa ni sawa na bei chee ya promotion....wenue akili mpo?
Manaopenda mteremko mpo?
Mbona unanunua simu na kuitumia lakini hujagharamia chochote kwenye minara?
 
Ni sawa na Machinga.

Kule vitambulisho vyao vimeongezewa taarifa ili waweze kukopesheka ila

Hapa kwa wadanganyika Machinga wanafukuzwa kama majambazi.
 
Laki mbili si elfu ishirini na saba. Hivyo wewe unaamini Tsh 27000 zinatosha kukuletea umeme ndani bila Tanesco kufidia gharama zinazozidi. Tanesco imefilisiwa kwa wizi na maamuzi mabovu ya kisiasa. Tanesco lazima iendeshwe kibiashara - angalau wasipate hasara za kujipangia.
Mbona elimu bure imewezekana?
Acha kutetea ujinga
 
... mwingi? 18MW si umeme wa majengo matatu tu makubwa pale Dar?
Yaan megawat 18 unaziona ndogo kuzalishwa na jua? halafu unasema kabisa unaweza kutumika kwa majengo mawili tu? mkuu kuwa serious basi hizo ni wat 18,000,000 ambazo zinaweza kuwasha kisiwa chote cha unguja na ukabaki.
 
... nakosa reference ila iliwahi kutamkwa Bungeni kwamba consumption ya umeme kwa mji wa Mtwara ilikuwa equivalent na majengo matatu pale Dar na yakatajwa Uhuru Heights, Viva Tower na lingine.

Ndio maana nimejaribu kwa haraka haraka kulinganisha 18mw kwa mji kama Mtwara (kwa wakti ule) na majengo matatu ya Dar yaliyotajwa kwenye habari ile then nikalinganisha na Zanzibar (kubwa by far kuliko majengo matatu ya Dar) conclusion ya haraka ikaja 18mw kwa Zanzibar ni kiduchu! Anyway, I might be wrong isiwe kesi.
 
Yaani Mita ile, waya mkubwa wa 10mm umbali wa mita labda 20, ndo iwe 27000/= ni ajabu!

Waya wa 4mm huku mtaani ilikuwa 4500 bei ya 2018 sasa hivi nasikia vitu vya umeme vimepanda, kwa umbali huo wa 20 meter, maana yake ni 4500 ×20=90,000 sasa sijui waya wa 10mm unauzwa shilingi ngapi, bado nguzo yaani ulitoe gogo la nguzo kule Mafinga, tena iwe treated, mfano hiyo nguzo uisafirishe hadi Mwanza, then gharama ya mafundi, maana yote hiyo inaingizwa kwenye total cost...utakuja kuona hata hiyo 321,000/= wanayo charge sasa ni sawa na bei chee ya promotion....wenue akili mpo?

Manaopenda mteremko mpo?
Sasa nikilipia hivyo vifaa!; bado vitakuwa bado mali ya Tanesco
 
Jana rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza mapinduzi akihutubia mwananchi wa Zanzibar katika kuhitimisha maidhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar alitoha hotuba nzuri sana. Aligusia mambo mengi sana yaliyofanyika na wanayo tarajia kufanya siku za usoni.

Wameweka kipaumbele kwenye kuzalisha umeme wa Megawatts 18 kwa nguvu za jua. Lakini amesema watapunguza gharama za kuunganisha umeme kutoka laki sita 600000 mpaka laki mbili 200000 ili kuwapa uwezo mwananchi wake waweze kuunga umeme ambao ni muhimu sana kwa mwananchi wa Zanzibar.

Lakini cha kushangaza bara wameongeza gharama za kuunganisha umeme wakati wote ni Watanzania. Kuna haja CCM bara na CCM Zanzibar kuwa na malengo ya kufanana kwa baadhi ya mambo hususani huduma za kijamii.

Zanzibar umeme wao wanachukua Tanzania bara japokuwa wana shirika lao la umeme la ZECO lakini cha kushangaza wao wanapunguza gharama sisi tunaongeza gharama
Kwanza kizuri kipongezwe na inapobidi, kasoro zitolewe kwa lengo la kujenga. Unamaanisha, Tanzania Bara kwa miaka yote tulikuwa tukiunganishwa umeme kwa TShs 365,000 mjini na 27,100 Vijijini ilhali Zanzibar ni TShs 600,000! Nadhani, kuna anayestahili pongezi kabla ya yote hapo.
 
Yaani Mita ile, waya mkubwa wa 10mm umbali wa mita labda 20, ndo iwe 27000/= ni ajabu!

Waya wa 4mm huku mtaani ilikuwa 4500 bei ya 2018 sasa hivi nasikia vitu vya umeme vimepanda, kwa umbali huo wa 20 meter, maana yake ni 4500 ×20=90,000 sasa sijui waya wa 10mm unauzwa shilingi ngapi, bado nguzo yaani ulitoe gogo la nguzo kule Mafinga, tena iwe treated, mfano hiyo nguzo uisafirishe hadi Mwanza, then gharama ya mafundi, maana yote hiyo inaingizwa kwenye total cost...utakuja kuona hata hiyo 321,000/= wanayo charge sasa ni sawa na bei chee ya promotion....wenue akili mpo?

Manaopenda mteremko mpo?
Kwenye nguzo si tunashea? Kwani kila mteja anakuwa na nguzo yake?
 
Back
Top Bottom