Zanzibar: Wanaokula hadharani, kuvaa nguo fupi kukiona

Status
Not open for further replies.
hapa tripple A viti virefu tumebaki wachache kweli!:clap2:

“….Kisha nitawazukia mbele yao na nyuma yao na kuliani kwao na kushotoni kwao. Wala hutawakuta wengi wao wenye shukrani. Quran 7:17

........... nyie msio na shukrani endeleeni kuning'inia kwenye viti virefu, maana shetani anajua mpo!

Hivi hii sheria ya kutokula hadharani wakati wa Ramadhani iko kwenye ile katiba yetu Chovu? Natamani ningekuwa Zanzibar ningefanya hilo kosa makusudi niangalie wangenishtaki kwa sheria ipi
............ kwanza ungepata sheria ya mtaani, mpaka polisi wakifika uko hoi !!

naomba utaratibu wa funga ya kwaresma!masharti kama yapo,mtu ajizuie kwa lipi au matendo yapi na muda gani wa funga?asali vipi?maana yesu alifunga usiku na mchana kwa siku 40!
............ nyongeza, pamoja na utaratibu wa kusali/kuswali ni upi ? kama alivoelekeza Bwana Yesu !

HIVI MAHAKAMA YA KADHI IKIANZISHWA KAMA BAADHI YA WATU WANAVYODAI................ITAKUWAJE...........??? Kuna sheria yoyote kule Zanzibar inayokataza hayo...???? AU ile 'nnji' inatawaliwa KISHARIA..???
Taarifa: Mahakama ya Kadhi ipo kule na Kadhi Mkuu anateuliwa na Rais wa Zanzibar. Inawahusu Waislaam tu !

Kwenda zako Mimi mbona sijui nini maana ya mwezi wa Ramadhani? Najilia popote wakati wowote na hakuna sheria inayonibana, msituletee mfumo Islaam hapa Zanzibar kwetu, tena sitaki mtu anipangie mda wa kula wala nini chakula, nikitaka kujilia nguruwe wa kupaka najilia popote na wakati wowote Kum...mae zenu
.................................... hakika Sisi tumewafanya Mashetani kuwa marafiki wa wasioamini !" Quran;7:27

Nimewasiliana na kile chama cha wauza yule mfugo - CHAWAKITA wanadai hata biashara kipindi hiki imedoda!
" Na wanapofanya mambo machafu husema: Tumewakuta nayo Baba zetu, na Mwenyezi Mungu ametuamrisha hayo. Sema: Hakika Mwenyezi Mungu haamrishi mambo machafu, mnamzulia Mwenyezi Mungu mambo msiyo yajua ?" Quran:7:28

jamani naomba kuuliza? Hivi kwa nini waislamu wanapofunga wanakuwa na masharti mengi sana? je wakristu wanapofunga kwaresima, waislamu huwa wanalazimishwa kula mafichoni? kama ni maadili basi yawepo wakati wote na siyo kipindi cha mfungo tu!

Nyinyi hamfungi bali mnashinda na njaa tu. Sisi tumeambiwa hivi na mwenyezi mungu, (enyi mlioamini,mmelazimishwa kufunga kama waliokuwa kabla yenu ili mpate kuwa wachamungu).

Je, serikali za Zanzibar ni ya kiislamu au ni ya kidikteta?

Kwa Zanzibar ambapo population ni almost 95% waislamu unapozumzia utamaduni lazima dominant group itakuwa ni waislamu, ndio maana sheria kama hizi zipo Zanzibar na si huku bara kwa kuwa hakuna dominant group perse.
Nawaza peke yangu tu; hivi kqweli inawezekana kuipima imani ya mtu kwa kutumia sheria kumazimisha atimize imani hiyo?

Ukiona serekali inahangaika na masuala madogo kama hayo ujue haina kazi za kufanya.

jamani naomba kuuliza? Hivi kwa nini waislamu wanapofunga wanakuwa na masharti mengi sana? je wakristu wanapofunga kwaresima, waislamu huwa wanalazimishwa kula mafichoni? kama ni maadili basi yawepo wakati wote na siyo kipindi cha mfungo tu!

PUMBA TUPU UMEANDIKA...

Kwani ni Zanzibar ni sehemu ya Waislamu pekee?!Kama sio sioni kama kuna mantiki yoyote ya kuzuia wengine kula wanapotaka kwa wakati wanaotaka.

Na kama mtu hawezi kuzua tamaa zake kwa kuona wengine wakila na kadhalika basi atulie nyumbani kwake ili asione watu wengine wakila.

Kuhusu mavazi kama wana jeuri wangeagiza iwe hivyo siku zote na sio wakati wa Ramadhan pekee....

Kwa mawazo yangu, ili kufunga kuwe na maana inabidi huyo aliyefunga (a) atambue haki za wengine na kuziishi hizo haki (b)ashinde VISHAWISHI na (c) atubu mapungufu yake kwa ujumla wake.

Hivyo basi, kukataza watu wasile hadharani ni dalili ya 'weakeness' kwa anayesema amefunga kwamba hawezi kukaa mbali na chakula kama anakiona machoni mwake! Kulazimisha wengine wasile hadharani wakati umefunga (hata kama sio watu wa imani yako) sio tu unaminya haki zao hao walaji bali pia kunaleta dalili za kutokuelewa dhana nzima ya kusali kwa kufunga. Mfungo mtukufu ni kipindi cha maombi pamoja na kujinyima kwa kutokula. Sasa hii ya kukataza watu wengine wasile inatoka wapi? Kama umemwambia mungu nitafunga kwa mwezi huu sasa huyu anayekula ana uhusiano gani na sala zako na mungu wako? Hivi ulimwambia mungu unafunga wewe au ulimwambia nakataza watu kula? Mawasiliano kati ya mwanadamu ni kitu private kabisa.

Wako wakristu wengi sana wanafunga (hasa wakatoliki) kama sala/maombi maalum au novena lakini kwa mtu mwingine unaweza kabisa usijue maana wengi hufanya kwa usiri mkubwa.

Sala inatakiwa iwe siri kati yako wewe na mungu wako. Kwenye biblia inasema wakati unatoa sadaka kwa mkono mmoja hata mkono mwingine usifahamu ni kiasi gani umetoa.

Mimi nadhani inawezekana kabisa kutokana na kwamba dini ya kiislam duniani kote bado inaendeshwa kwa kiirabu na hata vitabu vyote vimeandikwa kiirabu, basi tafsiri inabakia kwa watu wachache wanaojuwa kiirabu.

Na hili linaweza kuwa chimbuko la mambo fulani fulani maana waaumini wengi kwenye nchi including Tanzania ambapo kiarabu sio lugha inayojulikana kwa wengi basi unapokea anachosema sheikh au muongoza ibada hata kama ametoa tafsiri potofu. (masheikh ni binadamu hivyo kukosea kupo).

Wakatoliki zamani walikuwa wanatumia kilatini lakini hilo limebadilika na linasaidia mtu kuelewa biblia na maandiko mengine ya dini kwa utashi wako na sio utashi wa mwingine. pengine waislam wangeangalia hili ili waumini (mmoja mmoja) akisoma vitabu vitakatifu aelewe bila kutumia utashi wa mtu mwingine.

Kweni hii ni nchi tofauti???? Mh huu muungano mbona una mambo mengi hovyo yaani ikitokea nimesafiri kikazi znz basi ndio nilazimishwe kufunga lol!!!!

Ndugu yangu nahc hujaelewa kiswahl cha huyo Waziri,wewe hujalazmishwa kufunga ila unatakiwa ujistiri na pia ujiheshimu ktk mwezi huu na hii ni kutokn na utukufu wa mwezi huu kwa waumini Wa kiislamu!BE CAREFUL MA HOMEBOY!

Si jaipenda kabisa hii na ikiendekezwa inaweza kuleta matatizo. Kwani Zanzibar ni waislam tu?

Sisi ofisini kwetu mabinti wote wanatakiwa kuvaa skirt fupi juu ya paja wote ili wawe wepesi kumove.

Hii ndio mizee mimalaya, wanaogopa totos zao zitabebwa na wenzao kipindi hiki...

Wanafunga nini wafungue tu waendelee kufurahia uumbaji wa mungu...!

Acha kufuru zako we jamaa,kila mtu ana haki ya kutetea na kuilinda imani yake,kwa hy waache waislam wa zenji waitetee imani yao hususan ktk mwezi huu mtukufu!

jamani naomba kuuliza? Hivi kwa nini waislamu wanapofunga wanakuwa na masharti mengi sana? je wakristu wanapofunga kwaresima, waislamu huwa wanalazimishwa kula mafichoni? kama ni maadili basi yawepo wakati wote na siyo kipindi cha mfungo tu!

hawajiamini, huwa wanajistukia wenyewe...kufunga si kukwepa majaribu na vishawishi bali kuyashinda..Kumbe ni mfungo daah.! Ndo mana street bei ya kitibaridi imedrop. Natamani wafunge mwaka mzima..

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom