Zanzibar vyombo vya habari bubu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar vyombo vya habari bubu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mpasuajipu, Nov 1, 2010.

 1. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyo ya kawaida, vyombo vingi vya habari huko Zenji vimekuwa bubu ktk kufuatilia na kutangaza matokeo ya awali. Tofauti na vyombo km TBC ambayo inaendelea kufuatilia kila tukio, vyombo vya habari huko visiwani km radio za FM n.k zinapiga muziki tu na hakuna habari zinazotolewa, Je KULIKONIIII?
   
 2. c

  chanai JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anguko kubwa Zenj. Wamehaibika kweli mwaka huu
   
Loading...