ZANZIBAR Vs RWANDA!

Engineer Mohamed

JF-Expert Member
Jul 27, 2007
451
9
Stay Tunes please.Mod OLE.......

nakuomba mkuu hii topic iache kwanza mpaka tujue matokeo then uipeleke kule kunakohusika.........TAFADHALI MKUU nakuomba.hebu tuekeeni up-DATES.......manake nasikia rwanda amesharambwa mbili.
 
I hope hao Wanyarwanda watarudi KIGALI leo.
Engeneer kama jina lako, wewe pika then tuwekee mezani hapa.
 
Mbili/Nungwe? TANZANIA, TANZANIA, TANZANIA OOOOYYYEEEEEEEEEE
 
Zenj,
Tunewatakia mema ndugu zetu- ili mtotoe kimasomaso!

mzalendo halisi ubarikiwe mungu akujaze kila la heri na akuzidishie baraka.

huu ndio udugu sio kukandamizana.

usihofu ushindi upo kilichobaki ni kusubiri time tu.

zanzibar oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

tanzania oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
I hope hao Wanyarwanda watarudi KIGALI leo.
Engeneer kama jina lako, wewe pika then tuwekee mezani hapa.

side.....

usiwe na hofu kaka/dada,tumuombe mola sana leo tushinde.manake itakuwa aibu timu zetu zote 2 zikitolewa.
 
Stay Tunes please.Mod OLE.......

nakuomba mkuu hii topic iache kwanza mpaka tujue matokeo then uipeleke kule kunakohusika.........TAFADHALI MKUU nakuomba.hebu tuekeeni up-DATES.......manake nasikia rwanda amesharambwa mbili.

Sasa hiyo LIVE iko wapi au mpira haujaanza?
 
mtu wa pwani.........

breaking news nilopata kuwa WANAUME WA SHOKA MAPINDUZI STARS wametolewa kwa shida sana kwa njia ya penalti.

kwa maana hiyo timu zetu zote 2 za tanzania zimetolewa.

poleni sote wa-TANZANIA
.
 
Poleni sana "wanaume wa sketi"
Tatizo lenu mlitukana mamba kabla ya kuvuka mto. Haya sasa vukeni bahari mkale halua na kucheza mdumange.
 
Zanzibar wametolewa kwenye mashindano kwa njia ya penati baada ya kutoka suluhu ya 0 - 0.

Rwanda walipata magoli 5 na Zanzibar 4 (5 - 4)
 
Poleni sana "wanaume wa sketi"
Tatizo lenu mlitukana mamba kabla ya kuvuka mto. Haya sasa vukeni bahari mkale halua na kucheza mdumange.

shaka........

sisi tunakubali matokeo na kwa taarifa yako timu inapokelewa kwa shangwe na vigelegele.sio nyinyi nasikia mkapiga basi la wachezaji mawe,chupa za maji etc,hebu kuweni WAUNGAWANA KAMA SISI VILE.
 
Sawa mkuu nimekupata. Haya yote yalikuwa katika kuzidisha upinzani wa kimichezo ila sie sote ni ndugu. Hongereni kwa kujitahidi. Polepole soka litakuwa.
 
Back
Top Bottom