PENDING'ULA
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 268
- 46
You must be a Nyerere worshiper ...sasa tumewashika pabaya, haki ipatikane kwa wote au ikosekane kwa wote.
Takashi, Haki haipatikani kwa hila! Hulazimiki kujiteka nyara ili haki ipatikane! Ingawa pia haki haiombwi inadaiwa! Cha msingi, kama hoja ya kudai haki iko wazi, ni kusimama kidete na kujenga hoja, siyo kutoa kafara damu za wasio na hatia. Ndo maana tunapiga vita matumizi ya nguvu kupita kiasi katika kukabiliana na watu wanaodai haki zao za msingi!