Zanzibar: Viongozi wa UAMSHO wahojiwa na Polisi, kupandishwa kizimbani Jumatatu...

Wakuu,

Kutakuwa na Joint Press Conference itakayofanywa na Jeshi la Polisi (Z'bar) wakiwa na Sheikh Fareed wa Uamsho. Najitahidi kuweza kuwarushia nini kimeongelewa kadiri nitakavyoweza.

Ni muda wowote kuanzia saa nne za asubuhi kwa mida ya Tanzania. Kwa sasa jamaa yupo Polisi. Huenda akahojiwa kwanza au wakaanza na Press Conference ili waachane na vyombo vya habari.

Tayari vyombo vya habari wapo hapa wakisubiri kujua nini kinaendelea.

Nimeamini kweli ni wamoja hao, matukio yametengenezwa ila sijui kwa faida ya nani?
 
Polisi wa ZNZ ni mdebwedo au ulojo!!!! wanafanya press conference na Gaidi! Hii ni hatari jamani! sheikh Farid alitakiwa awe ametiwa hatiani.

hakuna polisi wa ZNZ, wote wako chini ya IGP Mwema, na ndio maana Mwamunyange jana akajionea udhia hata kumjulisha IGP kuwa anaingiza vikosi barabarani
 
Ni kwa nini wanamleta kwa waandishi wa habari badala ya kumtandika risasi au kumdunga sindano za sumu?

WE UTAKUWA DHAIF PIA KIGEUGEU, TULIWALAANI POLISI NA TISS KWA KUMTESA DR ULIMBOKA, LEO WASUPPORT POLISI WALEWALE, DUH WEWE LZM NI MMBEa
 
Nimeamini kweli ni wamoja hao, matukio yametengenezwa ila sijui kwa faida ya nani?

Picha hii iko wazi kila mtu kusema alivyoielewa! Watu hawa walikuwa wanataka kuwaset wazanzibar kwenye mwendo kueleka vurugu ili hatimaye lengo lililokusudiwa lifikiwe. Shekh kabla ya hilo aliona bora ajipime kukubalka kwake ndani ya jamii tayari kuchukua jukumu kubwa nje ya viongozi wenye msimamo kama wake lakini ni viongozi wa vyama vya siasa! Ikapangwa atoweke, mashahidi wa uongo waseme katekwa na watu wakahamaki sawasawa na ilivyopangwa! Sasa ana hakika ni kiasi gani wazanzibari wanaimani na misimamo yake! Walipofika wale sioni nguvu ya kuwageuza zaidi ya ile ya MWAMUNYANGE! Gwaride tu la yale magari heshima ikarudi!
 
Huyu Shehe Fareed ametia doa uislamu, amewadhalilisha wafuasi wake, amesababisha mauaji, amesababisha uharibifu wa mali, ametowesha Amani, amedanganya. Hawa ndio mashehe wanaojitangaza wanataka kuleta maendeleo ya waislamu?

1) When the secular people
spreads indecency and dirts
that is fashion and modernity. And when the religious people protests that is ignorance and extremity.

Today's world 2) When the Rich Rob the Poor, It's called Business ... When the Poor Fight Back, It's called Violence ....!
 
WE UTAKUWA DHAIF PIA KIGEUGEU, TULIWALAANI POLISI NA TISS KWA KUMTESA DR ULIMBOKA, LEO WASUPPORT POLISI WALEWALE, DUH WEWE LZM NI MMBEa
Kupotea kwa huyu sheikh kumekuwa na madhara makubwa kwa wazenji. Kama hakuwa ametekwa, sioni kwa nini uwe na huruma kwake.
 
Walimuachia shekh farid wakati wa usiku,walizima umeme kwanza ili wapate kumuachia na kutoweka,inaonyesha huu mpango ulikuwa wa kiserikali,kwa maana umeme ulizimwa zanzibar kwa ajili yake au vipi ?
 
Polisi wa ZNZ ni mdebwedo au ulojo!!!! wanafanya press conference na Gaidi! Hii ni hatari jamani! sheikh Farid alitakiwa awe ametiwa hatiani.

Awe ametiwa hatiani kwa kutekwa nyara? Hii nchi amani haitapatikana mpaka igaiwe mapande mapande...Waislamu kwao, Wakristo kwao na Waabudu NYERERE kwao....
 
Walimuachia shekh farid wakati wa usiku,walizima umeme kwanza ili wapate kumuachia na kutoweka,inaonyesha huu mpango ulikuwa wa kiserikali,kwa maana umeme ulizimwa zanzibar kwa ajili yake au vipi ?

Here we go again; Bado Mnamtukuza Anaivuruga Nchi wakati yeye na FAMILIA yake Matajiri na Wanaipenda CHELSEA

Kwani Kabla ya UHURU wa Zanzibar SHULE zilikuwepo huko VISIWANI kusomesha WanaZanzibar? Au ni Waarubu wenye asili ya GULF na Wahindi ndio waliokwenda SHULE?
 
Awe ametiwa hatiani kwa kutekwa nyara? Hii nchi amani haitapatikana mpaka igaiwe mapande mapande...Waislamu kwao, Wakristo kwao na Waabudu NYERERE kwao....

Kwani Zanzibar baada ya UHURU kulikuwa na SHULE za kusomesha Waafrika? Kwani wewe Umeenda YEMENI kama ni MWEUSI kama MIMI sijui kama watakupenda... Wao Wanajali RANGI kwanza halafu UISLAMU

Tembelea NCHI za KIARABU na SURA yako NYEUSI UONE UTAKAVYOTUPWA MITARONI
Jaribu hata NCHI MPYA IRAQ nenda BASRA uone Waarabu Weusi wanavyoteswa na Wenzao light skin... Hata MSIKITINI wanaambiwa wasikae MBELE... AU JARIBU KUANGALIA NEWA ALJAZEERA
 
Here we go again; Bado Mnamtukuza Anaivuruga Nchi wakati yeye na FAMILIA yake Matajiri na Wanaipenda CHELSEA

Kwani Kabla ya UHURU wa Zanzibar SHULE zilikuwepo huko VISIWANI kusomesha WanaZanzibar? Au ni Waarubu wenye asili ya GULF na Wahindi ndio waliokwenda SHULE?

kwani Jumbe , Abdulwakil, Ali Hassan Mwinyi walisoma wapi au Moshi pamoja na Mtei???
 
Here we go again; Bado Mnamtukuza Anaivuruga Nchi wakati yeye na FAMILIA yake Matajiri na Wanaipenda CHELSEA

Kwani Kabla ya UHURU wa Zanzibar SHULE zilikuwepo huko VISIWANI kusomesha WanaZanzibar? Au ni Waarubu wenye asili ya GULF na Wahindi ndio waliokwenda SHULE?

Tajiri kuliko Mtei ???
 
Picha hii iko wazi kila mtu kusema alivyoielewa! Watu hawa walikuwa wanataka kuwaset wazanzibar kwenye mwendo kueleka vurugu ili hatimaye lengo lililokusudiwa lifikiwe. Shekh kabla ya hilo aliona bora ajipime kukubalka kwake ndani ya jamii tayari kuchukua jukumu kubwa nje ya viongozi wenye msimamo kama wake lakini ni viongozi wa vyama vya siasa! Ikapangwa atoweke, mashahidi wa uongo waseme katekwa na watu wakahamaki sawasawa na ilivyopangwa! Sasa ana hakika ni kiasi gani wazanzibari wanaimani na misimamo yake! Walipofika wale sioni nguvu ya kuwageuza zaidi ya ile ya MWAMUNYANGE! Gwaride tu la yale magari heshima ikarudi!

You must be a Nyerere worshiper ...sasa tumewashika pabaya, haki ipatikane kwa wote au ikosekane kwa wote.
 
Back
Top Bottom