Kuna kabinti nilikuwa naishi nako mtaa mmoja pale moro enzi zile japo kalikuwa mcharuko dizaini fulani ila sio sana
Kalifeli 4m4 kakawa kanafanya kazi huku na huko .
Nikaja sikia kameibukia zanzibar kanafanya kazi hotelini
Sasa juzi kati kamerudi moro mama yake amedanji nikapata taarifa kamebadilika mbaya sana
Kwanza amenawiri kidogo msabwanda umefutuka kajichora matattoo Yale permanent mwili mzima ,katoga sikio lote na pua juu yaani full gangsta sijui ucharuko
Kwenye msiba mamake anavaa mavitenge anajificha ficha ila watu washamshtukia .
Huko Zanzibar nahisi "anauza" hafanyi kazi hotelini
Ni wengi sana hao mkuu, vijana wengi hasa wa kike huzamia Zanzibar kwa lengo la kutafuta kazi kwenye mahoteli, ukihadithiwa story mitaani unawezaona ni rahisi kutisua, ila sio hivo kabisa, mana wanaotafuta hizo kazi ni wengi kuliko hata uwezo wa hizo hoteli zenyewe, Kila mwaka kuna wabara wengi sana wanaoelekea zanzibar kwenda kujaribu bahati zao, Kuna wakenya, wataliano na wazungu wengine, mbali na wenyeji wa zanzibar. kwahiyo sio rahisi kabisa kutisua.
Sasa wengi wakishafika kule straggle zikishakua nyingi huishia kwenye ukahaba tu wakaamua kuishi kwa misingi hiyo.