Zanzibar vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana

Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,288
2,000
Maharibiko kwa kweli yapo kila sehemu, unapomnyooshea kidole mwenzako kuhusu kitu fulani hakikisha hicho kitu wewe au kwa upande wako hakifanyiki.
Unapoinyooshea kidole Zanzibar hakikisha yanayoendelea Zanzibar basi upande wa pili hayafanyiki au hakuna vijana wenye maharibiko kiasi hicho bila ya hivyo ni useless.
Kiujumla kwa sasa mikoa yote ya bara ndio inayoongoza kwa kuwa na machoko kuliko hata hiyo Zanzibar!
 
Top leader

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
766
1,000

vijana kupenda mtelezo na ugumu wa maisha watu wanahangamia kila kona ila kuna sehemu ni midset imejengwa watu wanapashooshea vidole kwa sana
 
Emiir

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,288
2,000
vijana kupenda mtelezo na ugumu wa maisha watu wanahangamia kila kona ila kuna sehemu ni midset imejengwa watu wanapashooshea vidole kwa sana
Na mara nyingi anaepanyooshea kidole kwa mwenziwe kuwa kumechacha anakua hajui ni kiasi kwake kumeoza!!
 
jiwe angavu

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
4,154
2,000
Maharibiko kwa kweli yapo kila sehemu, unapomnyooshea kidole mwenzako kuhusu kitu fulani hakikisha hicho kitu wewe au kwa upande wako hakifanyiki.
Unapoinyooshea kidole Zanzibar hakikisha yanayoendelea Zanzibar basi upande wa pili hayafanyiki au hakuna vijana wenye maharibiko kiasi hicho bila ya hivyo ni useless.
Kiujumla kwa sasa mikoa yote ya bara ndio inayoongoza kwa kuwa na machoko kuliko hata hiyo Zanzibar!
Unadhani kwa nini zanzi inashambuliwa..?huko ndio kwenye kitovu cha dini ya mnyazi mungu..wazee wa dini ya hakhi..sasahivi zenji kumeharibika...wataliano na waaarabu wanazidi kufukua tope za wazenji...inasikitisha sana

#MaendeleoHayanaChama
 
Juma1967

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
17,143
2,000
Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa

Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar

Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar

Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku

Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana.

Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki

Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena.

Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu

Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki

Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo

Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"

Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema
Shehe hapa Unguja ni rahisi kupata biqra ya Binti kulio upande wa pili
 
Juma1967

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
17,143
2,000
Unadhani kwa nini zanzi inashambuliwa..?huko ndio kwenye kitovu cha dini ya mnyazi mungu..wazee wa dini ya hakhi..sasahivi zenji kumeharibika...wataliano na waaarabu wanazidi kufukua tope za wazenji...inasikitisha sana

#MaendeleoHayanaChama
Mnyazi? Hakhi? Vp Parokiani mbona mule mule? Padiri Hana mke unategemea nn?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom