Zanzibar: Tuliialika Yanga SC baada ya kupata kura nyingi

Zanzibar Yanga ina mashabiki wengi Ila kusema kati kura 5500 yanga kapata kura 4900+ na Simba 422 ni ushabiki wa kijinga na inatia aibu
cha kufanya ni timu pinzani kuongeza hamasa kule visiwani
 
Yanga imeongoza kwa kura 4900 kati ya kura 5500, ni Nchi gani hiyo yenye wananchi 5500?

Halafu nchi gani hiyo ambayo wananchi wa club hiyo kwenye mitandao ya kijamii followers kwenye page ya timu yao hawazidi 1M?
haikuwa kura ya kumchagua rais,hii ilipigwa na wapenda soka tu tena sio wote
 
Ona ulivyo mjinga, sasa kama hizo research zinafanyika kimatabaka unakujaje ku generalize kwa kuwahusisha watu wote?

Kwa hiyo mimi nikisema watu wa yanga hamna akili kwasababu research ya manara ilisema mwenye akili ni baba yake na kikwete, nitakua sahihi?
mkuu.........manara hakufanya research but aliongozwa na emotion so MANARA alilopoka
 
Mliwaalika brazil kusheheresha shuhuli gani?

Yanga imealikwa kama kikundi cha ngoma kwa ajili ya kusherehesha, hilo la mpira ni kama la ziada tu
they say I'm crazy for looking for truth jibu lipo hapa,,,,,,,,,,,,,,,,............
 
kwahiyo MAZUZU 4000 ndiyo yaliwakilisha Utopolo ktk hiyo sampuli.

Halafu huna elimu ya kutosha kuhusu RESEARCH na maswala ya SAMPLE SELECTION. Siku nyingine usilitumie Tena hilo neno research. Kumbafu utopolo wewe.
tupe elimu kidogo mkuu
 
Yanga imeongoza kwa kura 4900 kati ya kura 5500, ni Nchi gani hiyo yenye wananchi 5500?

Halafu nchi gani hiyo ambayo wananchi wa club hiyo kwenye mitandao ya kijamii followers kwenye page ya timu yao hawazidi 1M?
Kwani nyie si mna takwimu yenu ile ya bwana bwanyenye MO kwanini uteseke na haka la research kadogo tu?
 
ukisema ivyo kama hakuna mashahidi Makolo wanakuua na kula nyama
emoji851.png
emoji851.png
emoji851.png
Makolo
kwahiyo MAZUZU 4000 ndiyo yaliwakilisha Utopolo ktk hiyo sampuli.

Halafu huna elimu ya kutosha kuhusu RESEARCH na maswala ya SAMPLE SELECTION. Siku nyingine usilitumie Tena hilo neno research. Kumbafu utopolo wewe.
Unapanic nini nyoko wewe, hao waliopiga kura sio makolo kama wewe, ni watu wenye uelewa mpana.

Umeumia sana kuambiwa Yanga ni timu ya Wananchi
 
Kwani yanga inafanya vizuri?

Basi kama kigezo ndio hicho basi ingepitishwa rasmi kua simba ndio timu ya wananchi maana ndio timu inayoongoza ukanda huu afrika mashariki na kati, huku ikiwa nafasi ya 13 kwa africa nzima
ni kweli simba ilikuwa vizuri but sio now mkuu .........haipo on trending kama yanga
 
Kwani yanga inafanya vizuri?

Basi kama kigezo ndio hicho basi ingepitishwa rasmi kua simba ndio timu ya wananchi maana ndio timu inayoongoza ukanda huu afrika mashariki na kati, huku ikiwa nafasi ya 13 kwa africa nzima
Kumbe hujui kwa nini Yanga inaitwa timu ya Wananchi, kwa taarifa yako Yanga ina historia kubwa katika uhuru wa hii nchi. Nyinyi makolo ni timu ya waasia waliojitoa Yanga baada ya Yanga kuunga mkono harakati za kudai uhuru.

Simba ni Yanga ila Yanga sio Simba.
 
haikuwa kura ya kumchagua rais,hii ilipigwa na wapenda soka tu tena sio wote
Wapenda soka kitengo cha burudani ndio walio vote baada ya kuwa motivated na hii kitu, na ndio maana title la sherehe ni kusheheresha, sa sijui watavaa suti zile zile zilizodizainiwa pale tandika?
 
Kumbe hujui kwa nini Yanga inaitwa timu ya Wananchi, kwa taarifa yako Yanga ina historia kubwa katika uhuru wa hii nchi. Nyinyi makolo ni timu ya waasia waliojitoa Yanga baada ya Yanga kuunga mkono harakati za kudai uhuru.

Sim.ba ni Yanga ila Yanga sio Simba
😁😁😁 simba ni yanga ...... but yanga sio simba
 
Kumbe hujui kwa nini Yanga inaitwa timu ya Wananchi, kwa taarifa yako Yanga ina historia kubwa katika uhuru wa hii nchi. Nyinyi makolo ni timu ya waasia waliojitoa Yanga baada ya Yanga kuunga mkono harakati za kudai uhuru.

Simba ni Yanga ila Yanga sio Simba.
Uhuru wa nchi, yanga inahusika vipi?

Manara ile ni ajira anaweza kuongea chochote as long as hatukani msimchukulie serious kwa kila kitu, maneno mengine muwe mnayachuja kabla ya kuyaongea kwa watu, hivi hata wewe hapo wakisema elezea yanga ime facilate vipi kwenye uhuru utaongea nini?
 
Kwani nyie si mna takwimu yenu ile ya bwana bwanyenye MO kwanini uteseke na haka la research kadogo tu?
Takwimu gani?

Back to back mara 4?

Kuingia robo fainali season 2?

Kuwa namba 13 katika rank ya club bora africa?
 
Takwimu gani?

Back to back mara 4?

Kuingia robo fainali season 2?

Kuwa namba 13 katika rank ya club bora africa?
sawa hizo tunajua,lkn bwanyenye ana takwimu zake mwenyewe sijui kazifanya na babra wenyewe
 
Back
Top Bottom