Zanzibar Tuitakayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar Tuitakayo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bikra, Jun 13, 2012.

 1. Bikra

  Bikra Senior Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ilipovunjika, isikandike, sasa itakandika
  Ilipokatika, isiungike, sasa itaungika
  Ilipochanjagika, isikandike, sasa itakandika
  Letu si La kuvunda, Lina ubani!
   
 2. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sijakuelewa Manju!

  Com again pls....
   
 3. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,167
  Likes Received: 1,172
  Trophy Points: 280
  Zanziba huru inaweza patikana, lamsingi wekeni chini viberiti na madumu ya mafuta
   
 4. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #4
  Jun 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Wazanzibar wanapaza sauti zao kwa maiki na mdomo serikali ndiyo
  inataka kuzima kwa risasi! Wakitaka wawamalize wote.
   
Loading...