Zanzibar tuitakayo sisi ndani ya muungano

Wale ndg zenu wa kiume mnaowashikisha ukuta mbona hamuwapelekei pilipili kunako,ili waache matendo yao ya aibu badala yake mnasingizia utandawazi,dada zenu kutunza bikira huku mmewasodoma hayo si dhambi kwenu.POLENI SANA MAANA HUKUMU YA HAKI YAJA.KILA MTU ATABEBA MZIGO WAKE.
 
Nimesikitishwa na hii habari, nimeshindwa nimweke wapi huyu aliyeandika maana ni afadhali angebeba jembe akaenda shamba siku ya siku atavuna. anaandika vitu ambavyo ni useless na kwa mtu aliyenda shule can't use her/his time to write this kind of porojo.
 
Hawa wanafikiri ni nyumbani kwao hapo, wapo na familia zao?? hii ni nchi yenye uhuru kwa kila mtu. Huwezi lazimisha mtu kufuata mambo yako. Mambo yako ilazimishe familia yako. Hivi hawa waislam wamesahau wanavyotupigiaga kelele usiku??? lakini tunawastahii tu, tunavumilia hizo kero zao. Kama ni kuamushana si kila mtu anajua wajibu wake??

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Nungwi ikiwemo ndani yake, inaongozwa na katiba...ndani ya katiba kuna miongozo ambayo inawapa watu wote uhuru wa kuabudu anachotaka maadam asikiuke wala kuvunja katiba ya nchi na wala si ya dini fulani kwa kuwa srikali haitambui sheria za dini na wala haijifungi kwazo.
 
Vipi wanao vaa suruli fupi wanaruhusiwa? Vibaraka shea sehemu za bar na kitimoto? Nyie kuweni wawazi mnazunguka zunguka kama malaya anayepandisha dau, semeni mnataka nini, acheni unafiki.
 
wenda wazimu huo

Si lazima ufuate wanavotaka wao, wameshasema kama ukishindwa uondoke ...SAFI SANA WANA NUNGI ! msikubali kuwa watumwa wa kimagharibi wa kukubali kuiga tamaduni ambazo haziendani na mila na desturi ambazo mmezikuta... na yeye mwenye ez Mungu atwalinda
 
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Nungwi ikiwemo ndani yake, inaongozwa na katiba...ndani ya katiba kuna miongozo ambayo inawapa watu wote uhuru wa kuabudu anachotaka maadam asikiuke wala kuvunja katiba ya nchi na wala si ya dini fulani kwa kuwa srikali haitambui sheria za dini na wala haijifungi kwazo.

Naomba nikuulize je WATU WANAOJENGA HIYO SERIKALI hawana dini? na kwanini wanapoapishwa wabunge wanashika vitabu vya dini yao? kama kweli serikali haina dini kwanini ifanye hivi? tusidanganyane, walichojaribu kusema wao wamequote Injeel inasema nini, Taura na Quraan , je wewe si mfuasi wa kimoja cha hivo vitabu? kwanini uende kinyume na Mola anavokuamrisha just kwa sababu unataka kufta tamaduni za watu wengine...waacheni wafanye wanayoona yanafaa na nadhani kama wote watakuwa hivi sasa sijui watazuliwa nini
 
Wale ndg zenu wa kiume mnaowashikisha ukuta mbona hamuwapelekei pilipili kunako,ili waache matendo yao ya aibu badala yake mnasingizia utandawazi,dada zenu kutunza bikira huku mmewasodoma hayo si dhambi kwenu.POLENI SANA MAANA HUKUMU YA HAKI YAJA.KILA MTU ATABEBA MZIGO WAKE.

Na wale ambao kanisa fulani wamewakubalia KUWAOZESHA JINSIA YA MOJA yaani wanaume na wanaume je ? hili unalizungumzia vipi? tumeshasikia mchungaji fulani wa marekali kaolewa na mtu mwengine na tena kanisani je hili nalo?
 
Huwezi kujiita upo ktk imani fulani,huku huthamini na kumini imani ya mwenzako.HZ DINI TUMERITHI TU,KM NYIE NDO FIRAUNI WAKUBWA MATENDO NA MAANDIKO YENU HAVIENDANI KBS.KAMA KWELI MKO SAFI MNGEKOMAA NA IBADA NA SI KUVUNJA AU KUCHOMA MAKANISA.

MAequote vitabu vitatu, soma vizuri
 
A. ZANZIBAR NI NJEMA NA ATAKAE AJE BILA KUATHIRI UTAMADUNI WA MZANZIBAR

Ndugu zetu musiwe na chuki kwa kila analosema mznz hata kama ni zuri mnanuna. mnakataa haya maneno ya biblia kwasababau kasema mznz. mnataka utamaduni wa kimaghaliribi eti ndio usomi ............
tunataka sheria za mungu zifanye kazi sio sheria za m(z)ungu kwani sisi mzungu sio mungu wetu huyooo

katika ukusanyaji wa maoni ya katiba tunataka tujadili muunganooooo kwanza na kuhusu katiba tunahitaji haya
1. Mapumziko siku ya ijumaa au tupumzike wote siku huru isiwe ijumaa, jumamosi au jumapili
2. Kuondoa vikwazo na ushuru wa misaada ya waislam inayoingia nchini kwetu
3. mahakama ya kadhi
4. waislam waznz waruhusiwe kujiunga na umoja wa nchi za kiislam OIC

Kuhusu makanisa yamechomwa na wakristo wenyewe ili ionekane waislam ndio wamechoma na ukweli utadhihiri hivi karibuni. angalia mitandao ya kanisa ilivyoposha habari yenyewe

bofya hapo chini au google hizo sentensi

Hundreds of Islamists burn Churches in Zanzibar

Islamic Extremists Burn Churches In Zanzibar

kwanini mnang'ang'nia znz wakati ina wenyewe? jibu mnataka kuibatiza. haitokubalika kamwe.

ZANZIBAR NI NJEMA NA ATAKAE AJE BILA KUATHIRI UTAMADUNI WA MZANZIBAR
 
Attachments

  • burning-church-zanzibar.jpg
    burning-church-zanzibar.jpg
    13.9 KB · Views: 32
A. ZANZIBAR NI NJEMA NA ATAKAE AJE BILA KUATHIRI UTAMADUNI WA MZANZIBAR

Ndugu zetu musiwe na chuki kwa kila analosema mznz hata kama ni zuri mnanuna. mnakataa haya maneno ya biblia kwasababau kasema mznz. mnataka utamaduni wa kimaghaliribi eti ndio usomi ............
tunataka sheria za mungu zifanye kazi sio sheria za m(z)ungu kwani sisi mzungu sio mungu wetu huyooo

katika ukusanyaji wa maoni ya katiba tunataka tujadili muunganooooo kwanza na kuhusu katiba tunahitaji haya
1. Mapumziko siku ya ijumaa au tupumzike wote siku huru isiwe ijumaa, jumamosi au jumapili
2. Kuondoa vikwazo na ushuru wa misaada ya waislam inayoingia nchini kwetu
3. mahakama ya kadhi
4. waislam waznz waruhusiwe kujiunga na umoja wa nchi za kiislam OIC

Kuhusu makanisa yamechomwa na wakristo wenyewe ili ionekane waislam ndio wamechoma na ukweli utadhihiri hivi karibuni. angalia mitandao ya kanisa ilivyoposha habari yenyewe hilo kanisa halipo znz

Ujinga wa baadhi ya Wazanzibari unawatengenezea kaburi Wazanzibari wengi wasio na hatia. Zanzibar ni kisiwa ambacho hakiwezi kusimama kwa kujitenga na jumuia ya kimataifa ya Wakristo. Dubai imeweza kuendelea haraka sana ndani ya miaka 15 baada ya kuachana na ujinga wa propaganda za kidini. Leo Dubai ni mfano wa maisha ya kistaarabu kuzidi nchi zote za Kiarabu. Mataifa ya Kiarabu ambayo ndiyo yana waislam wengi, na ndiko uislam ulikotokea hayawezi kusimama bila ya mataifa ya Magharibi ambayo kwa kiwango kikubwa ni ya Wakristo. Waarabu ambao wameuleta uislam Afrika wanajua hawawezi kusimama bila ya mataifa ya kikristo lakini baadhi ya wajinga wa Zanzibar wanadhani Zanzibar inaweza kusimama bila ya jamii ya Kikristo Duniani. Bahati yenu ni kuwa miongoni mwenu kuna wenye akili kwa hiyo kwa namna yeyote vile hawatakubali ujinga wenu wa kufikiria Zanzibar ijitenge na jamii ya Kikristo Duniani. Na kama lingefanyika hilo, ndani ya mwaka mmoja Zanzibar ingebaki kisiwa cha magofu, kila mmoja atahangaika kuihama Zanzibar maana haitakalika. Hakuna chochote Zanzibar cha kuweza kuifanya istahimili kuishi pekee yake bila ya jamii ya kimataifa hata kwa miezi mitatu.

Wataalam wa mabadiliko ya hewa Duniani wanasema kisiwa cha Zanzibar hakitakuwepo miaka 50 ijayo, kitakuwa kimepotelea baharini, na hizo chuki zenu mtaenda wapi? Huko mtakakokwenda mkiambiwa kuwa wenyeji wa huku hawavai suruali wala gauni bali ni chupi tu, nanyi mtavaa hivyo hivyo? Maana mnataka kila anayekuja kwenu ni lazima afuate desturi zenu, nanyi mtafuata desturi zao?

Huko Dubai mnakokuongelea kila siku, watu wapo huru kabisa. Na leo hii, sijui kama kuna mahali unaweza kupata pombe kwa bei nafuu zaidi ya Dubai. Dini imebakia ni suala la mtu binafsi, huwezi kumlazimisha mtu afuate unachoamini wewe. Tena ninyi nyote wenye chuki na binadamu wenzenu walioumbwa na Mungu, nyumbani kwenu ni jehanam. Ninyi wote ni wanafiki na maajenti wa shetani, roho ya Mungu wa kweli haihubiri chuki wala kuwaza kulipiza kisasi.
 
Hii dhambi ya kuchoma makanisa haitawaacha salama enyi boko haram ya unguja,dubai,oman,saudia,hizo sharia hazimo ambapo wao ndio waislamu kwani wanasali kwa lugha yao sio nyie mnaoiga.mnakataa nguruwe ila mnazini,mna...f.ra,mnavuta sigara na bangi,heron wakati vyote ni haramu.mkatae na zile ndege zinazotoka italy drect kwani wale ni wakirsto mnaowaita kafiri.
Wewe inaonekana mdini sana
 
A. ZANZIBAR NI NJEMA NA ATAKAE AJE BILA KUATHIRI UTAMADUNI WA MZANZIBAR

Ndugu zetu musiwe na chuki kwa kila analosema mznz hata kama ni zuri mnanuna. mnakataa haya maneno ya biblia kwasababau kasema mznz. mnataka utamaduni wa kimaghaliribi eti ndio usomi ............
tunataka sheria za mungu zifanye kazi sio sheria za m(z)ungu kwani sisi mzungu sio mungu wetu huyooo

katika ukusanyaji wa maoni ya katiba tunataka tujadili muunganooooo kwanza na kuhusu katiba tunahitaji haya
1. Mapumziko siku ya ijumaa au tupumzike wote siku huru isiwe ijumaa, jumamosi au jumapili
2. Kuondoa vikwazo na ushuru wa misaada ya waislam inayoingia nchini kwetu
3. mahakama ya kadhi
4. waislam waznz waruhusiwe kujiunga na umoja wa nchi za kiislam OIC

Kuhusu makanisa yamechomwa na wakristo wenyewe ili ionekane waislam ndio wamechoma na ukweli utadhihiri hivi karibuni. angalia mitandao ya kanisa ilivyoposha habari yenyewe

bofya hapo chini au google hizo sentensi

Hundreds of Islamists burn Churches in Zanzibar

Islamic Extremists Burn Churches In Zanzibar

kwanini mnang'ang'nia znz wakati ina wenyewe? jibu mnataka kuibatiza. haitokubalika kamwe.

ZANZIBAR NI NJEMA NA ATAKAE AJE BILA KUATHIRI UTAMADUNI WA MZANZIBAR

Mmelikoroga kaeni mlinywe....Mungu hadanganywi...
 
Hata mataifa yaliyoharibika yaliharibiwa kwa watu kutumia dini kufanya uovu. Njia yenu inaonekana inaelekea huko. Mtajuta.
 
Ujinga wa baadhi ya Wazanzibari unawatengenezea kaburi Wazanzibari wengi wasio na hatia. Zanzibar ni kisiwa ambacho hakiwezi kusimama kwa kujitenga na jumuia ya kimataifa ya Wakristo. Dubai imeweza kuendelea haraka sana ndani ya miaka 15 baada ya kuachana na ujinga wa propaganda za kidini. Leo Dubai ni mfano wa maisha ya kistaarabu kuzidi nchi zote za Kiarabu. Mataifa ya Kiarabu ambayo ndiyo yana waislam wengi, na ndiko uislam ulikotokea hayawezi kusimama bila ya mataifa ya Magharibi ambayo kwa kiwango kikubwa ni ya Wakristo. Waarabu ambao wameuleta uislam Afrika wanajua hawawezi kusimama bila ya mataifa ya kikristo lakini baadhi ya wajinga wa Zanzibar wanadhani Zanzibar inaweza kusimama bila ya jamii ya Kikristo Duniani. Bahati yenu ni kuwa miongoni mwenu kuna wenye akili kwa hiyo kwa namna yeyote vile hawatakubali ujinga wenu wa kufikiria Zanzibar ijitenge na jamii ya Kikristo Duniani. Na kama lingefanyika hilo, ndani ya mwaka mmoja Zanzibar ingebaki kisiwa cha magofu, kila mmoja atahangaika kuihama Zanzibar maana haitakalika. Hakuna chochote Zanzibar cha kuweza kuifanya istahimili kuishi pekee yake bila ya jamii ya kimataifa hata kwa miezi mitatu.

Wataalam wa mabadiliko ya hewa Duniani wanasema kisiwa cha Zanzibar hakitakuwepo miaka 50 ijayo, kitakuwa kimepotelea baharini, na hizo chuki zenu mtaenda wapi? Huko mtakakokwenda mkiambiwa kuwa wenyeji wa huku hawavai suruali wala gauni bali ni chupi tu, nanyi mtavaa hivyo hivyo? Maana mnataka kila anayekuja kwenu ni lazima afuate desturi zenu, nanyi mtafuata desturi zao?

Huko Dubai mnakokuongelea kila siku, watu wapo huru kabisa. Na leo hii, sijui kama kuna mahali unaweza kupata pombe kwa bei nafuu zaidi ya Dubai. Dini imebakia ni suala la mtu binafsi, huwezi kumlazimisha mtu afuate unachoamini wewe. Tena ninyi nyote wenye chuki na binadamu wenzenu walioumbwa na Mungu, nyumbani kwenu ni jehanam. Ninyi wote ni wanafiki na maajenti wa shetani, roho ya Mungu wa kweli haihubiri chuki wala kuwaza kulipiza kisasi.

Hata mm huwa sielewe ujuha wetu binadamu Mungu na aturehemu...hebu fikiri Mungu muumba wa mbingu na dunia na vyoote vilivyomi,mwenye haki,mwenye mamlaka hakimu wa kweli...naweza kuendelea zaidi na zaidi...kama yeye na UUNGU wake hakutuumba wa imani moja,alituumba na kutupa utashi kuwa tuitafute kweli na hiyo kweli ndio itifikishe mbinguni..!!!hakutulazimisha kuifuata imani ya kwelu ambayo yeye anaijua...anatuona tunavyohangaika na bado anaturehemu na kutupa nafasi ya kuifuata kweli!!!!ila sisi ndio tumekomaa kuhukumu wenzetu,kutoa hukumu dhidi ya "wasioamnini" tunaowaona wenye dhambi!kweli hivi huyu Mungu si anatuangalia na kutushangaa...!!?jamani when are we going to learn that God doesnt preach hate...!?it is so sad...yaani kuna watu roho zimejaa chuki hadi sidhani hata kama katika wanaposali ican imagine anasali huku roho inamuungua kwa hasira na chuki ni kwa nini kapishana na mtu wa imanu nyingine ambaye hajavaa kama anavyoamini kuwa ni sahihi,au jwa nini katika sehemu fulani kuna nyumba ya ibada inayoamini tifauti na imani yake...inasikitisha badala ya kuomba Mungu anayemuamini afanye mabadiliko anaamua kutumia nguvu zake mwenyewe...it is a disgrace even to say that you believe in A higher power because the actions doesnt reflect that...!!!
 
Back
Top Bottom