Zanzibar tuitakayo sisi ndani ya muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar tuitakayo sisi ndani ya muungano

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dostum, May 31, 2012.

 1. d

  dostum JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Baada ya mfumo wa kisecula kushindwa kutenda haki sawa kwa binadamu, mfumo huu hautufai tena yaani kihausa (boko Haram) yaani mfumo kwa kisecula ni haramu kuufata na sasa tunaanza kupractise mfumo mpya sawa na kiambatishi....
   

  Attached Files:

 2. no9

  no9 Senior Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wenda wazimu huo
   
 3. double R

  double R JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,356
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Bora mi sipo nungwi
   
 4. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  pathetic...
   
 5. Raiamwematz

  Raiamwematz Senior Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hawa wanafikiri ni nyumbani kwao hapo, wapo na familia zao?? hii ni nchi yenye uhuru kwa kila mtu. Huwezi lazimisha mtu kufuata mambo yako. Mambo yako ilazimishe familia yako. Hivi hawa waislam wamesahau wanavyotupigiaga kelele usiku??? lakini tunawastahii tu, tunavumilia hizo kero zao. Kama ni kuamushana si kila mtu anajua wajibu wake??
   
 6. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 7. J

  JMSKIPPER New Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo itakuwa inaingilia uhuru wa watu, kama ni hivyo bora kusiwe na muungano maana hayo wala siyo mambo ya msingi ambayo mtu ungeyaongelea yawepo kwenye muungano.
   
 8. m

  mjinga JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Sasa nahao watalii aw kizungu nao Warudi kwao???? Au mnawarenga Watanganyika tuu?? Wazungu wanaovaa hayo mavazi ni wengi kuliko hata Watanganyika walioko huko Nungwi,lakini mbona hamuwafanyi chochote hao wazungu??? Nyie ni wanafiki sana
   
 9. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Heri yangu mimi ninayetembea kifua wazi (kama ninavyoonekana kwenye picha yangu hapa juu), maana hilo halijazuiwa.
   
 10. Mjuni Lwambo

  Mjuni Lwambo JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 5,481
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  huwezi kumlazimisha mtu kufuata korani wala biblia soma korani 2:256 pia inaruhusiwa ndani ya korani hata kila mtu kuwa na dini yake au utamaduni wake, kasome tena koran109:1-6. nyie mmelaaniwa ndio maana mnaishia kuchoma makanisa, hata hao boko haram unaowasifu wanatenda machukizo mbele ya mungu wenu huyo huyo wa kiislam, SHETWAN WE.
   
 11. M

  Malipo kwamungu JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 574
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Muungano haumo ktk hayo yote uliyoandika tena kwa wakazi wa Nungwi ambapo pia population yake haifikii wakazi wa Manzese angalieni chokochoko mchokoe pweza mengine hamyawezi hata nao mnaowatumaini mziki mkubwa hamuwezi ucheza huu! CHEZEA HANGINE HANGU PAGUMU Ambia wooote!
   
 12. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sheria siku zote haileti haki,unahitajika utashi nwa moyoni,mchana watatii lakini usiku kama kawaida,na kwa utandawazi wa sasa hii ni sawa na kujifunika macho kwa neti kwenye mwanga mweupe ukitegemea usione vya nje!
  Fungukeni wenzetu,shule pia in umuhimu wake
   
 13. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  nitafutieni mteja wa nyumba nungwi kwa sababu kwa hilo tangazo siwezi.
   
 14. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hivi maumbile ya uchi ya watu ki-Zanzibar yanaitwa mapambo ya ndani??

  Nielewesheni wakuu!
   
 15. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ihamishie dar ntainunua,nimechoka kupanga.
   
 16. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Watalii wakirudi kwao si ndio kisiwa chote kwishne
   
 17. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huwezi kujiita upo ktk imani fulani,huku huthamini na kumini imani ya mwenzako.HZ DINI TUMERITHI TU,KM NYIE NDO FIRAUNI WAKUBWA MATENDO NA MAANDIKO YENU HAVIENDANI KBS.KAMA KWELI MKO SAFI MNGEKOMAA NA IBADA NA SI KUVUNJA AU KUCHOMA MAKANISA.
   
 18. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Hii dhambi ya kuchoma makanisa haitawaacha salama enyi boko haram ya unguja,dubai,oman,saudia,hizo sharia hazimo ambapo wao ndio waislamu kwani wanasali kwa lugha yao sio nyie mnaoiga.mnakataa nguruwe ila mnazini,mna...f.ra,mnavuta sigara na bangi,heron wakati vyote ni haramu.mkatae na zile ndege zinazotoka italy drect kwani wale ni wakirsto mnaowaita kafiri.
   
 19. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Tukizuia vyakula kwenda unguja ,tukizima umeme,habari yenu kwisha,nungwi ndio ina idadi kubwa ya mahoteli hapo znz nawashangaa sana hako katangazo au mnataka mjitenge ?
   
 20. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inapendeza sana,kutumia mda wako kwa kusali na kufanya kazi,ule wa ziada kusoma,na ule uliyobaki toa darasa kwa wale unaoamini wamepotea.LAKINI SI KUCHOMA MAKANISA,INGEKUWA VP UNGEWAFUATA NA KUWAFIKISHIA UJUMBE YA KUWA WAPO KTK KUNDI LA MOTONI,UKATUMIA VITABU VYA DINI KUTHIBITISHA UNGEELEKA TU.AU WANGEKUELEWESHA.sasa kuvunja makanisa ni kujenga chuki duniani na kwa mungu wewe wa motoni tu.
   
Loading...