Zanzibar tayari meme

Malcom XX

JF-Expert Member
Sep 12, 2020
392
1,000
Kuna taarifa kutoka ndani ya chama kuwa 2025 zazibar hapatakuwa na rais bali kupitia bunge lijalo kutakuwa na mabadiliko ya kikatiba kuifanya zanzibar kuwa mkoa, ambapo zanzibar itagawanywa katika mikoa ili kupoteza hadhi yake kama nchi na kuifanya kuwa mkoa wa Tanzania kama ilivyo mikoa mingine ya Tananyika.

Uchaguzi huu wazanzibar mkizubaa mmepoteza.
 
Joselela

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,587
2,000
Post zingine mnazotoa muwe mnatathimini outcomes zake, vyombo vya habari duniani kote ndio huwa chanzo cha machafuko, hivyo basi naomba JF mchukue hatua ya kufutilia mbali post zenye mirengo ya namna hii Kwani matokeo yake sio kwa wazanzibar tu bali hata ofisini kwenu hapo...

Always serikali ipo kazi 24/7.
Zaidi ni baada ya tarehe 3.
 
chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
5,803

Usipanik kila mtu ana haki ya kueleza yale yaliyomo moyoni mwake ..

Zima hoja Kwa hoja,acha kulalamika
 
Mwakyeja

JF-Expert Member
May 1, 2015
502
500
Jm1
IMG-20201007-WA0012.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions
Thread starter Title Forum Replies Date
chagu wa malunde Bunge la JMT halijavunjwa tayari kihoro kimeshawapata je likivunjwa? KATIBA Mpya 12

Similar Discussions

Top Bottom