Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,601
- 6,016
Serikali ya Zanzibar imesema dozi za Sinocav kutoka nchini China zimeanza kutolewa kwa awamu ya kwanza huku awamu ya pili ikitarajiwa kufanyika baada ya wiki mbili kutoka sasa.
Huku Bara ni vipi?. Mbona kama vile mchakato ulianzia huku, hata wazanzibar wakasema wanasubir Rais wa Jamhuri atoe GO-Ahead
Huku Bara ni vipi?. Mbona kama vile mchakato ulianzia huku, hata wazanzibar wakasema wanasubir Rais wa Jamhuri atoe GO-Ahead