Zanzibar: Rais Mwinyi avunja Bodi ya Shirika la Nyumba

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuvunja Bodi ya Shirika la Nyumba kuanzia leo Agosti 27, 2021

Vilevile, Dkt. Mwinyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amevunja Bodi ya Uhaulishaji Ardhi Visiwani humo.

CB75D0BD-8C1E-4E75-809B-11BEC946F2A7.jpeg
 
hii ndio tofauti ya Rais wa sasa, Dr. Hussein hasiti kufanya maamuzi inapo bidi bila kujali nani ni nani, ilimradi tu masilahi ya znz yanazingatiwa.
Kwa mwendo huu naamini Znz itabadilika sana sana ktk maendeleo,
 
Habari tamu zingekuwa hivi.

Azindua kiwanda kikubwa cha kuzalisha injini za pikipiki
Kesho atafanya ziara ktk hydropower station ya tatu kwa ukubwa barani afrika hapo mchamba wima(mfano tu wa eneo)

Ila hii tengua tumbua teua haina tija. Ni juzi tu hapo wafanyakazi karibia 4000 walio ondolewa utumishi mwaka 2017 wameelekezwa kurejeshwa ktk nafasi zao
 
Ajabu sana aya mambo hadi leo bado tunaangaika na utawala.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom