Yamungu Athumani
JF-Expert Member
- Apr 23, 2016
- 1,384
- 3,250
Sawa Bwana
Hao ndo viongozi ambao wanauchungu na nchi zaoRais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr Mwinyi amesema kuanzia sasa ,hakuna mwananchi visiwani humo atayeuziwa nguzo ya umeme ambayo kiukweli unauziwa nguzo lakini bado hiyo nguzo inaendelea kuwa mali ya Tanesco.!!View attachment 2110634
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr Mwinyi amesema kuanzia sasa ,hakuna mwananchi visiwani humo atakayeuziwa nguzo ya umeme ambayo kiukweli unauziwa nguzo lakini bado hiyo nguzo inaendelea kuwa mali ya Zesco.
View attachment 2110634
👆Machogo mkisikia Zanzibar inatajwa mnapagawa. Kila uzi mnaingia kutapika nyongo. Shida kweli lakini kuna siku yataisha.
#FreeZanzibar
👆Washazoea urojo wenzetu. Basi yesheeeee wao wanataka bure kila kitu hakuna tabu.
👣Zanzibar itapiga hatua ya maendeleo kwa haraka sana kwakua inachangiwa na nguvu za Marais wawili.
Huyu ndiyo adui yetu baraMiti tulime wenyewe IRINGA nyie mpeane bure huku sisi tukilipia? Umeona wapi hii,,? We BIBI TOZO WEWE
Lazima tuumie ili wao waenjoy mema ya muungano.Huku bibi ushungi anataka tuuziwe akajenge Zanzibar
Bora uvunjwe haraka snLazima tuumie ili wao waenjoy mema ya muungano.
Uongozi mbovu snTatizo uongozi
Tunaonewa snTatizo kwangu Sio Kuuziwa bali ni kuuziwa alafu kutokupewa yaani unanunua kitu alafu sio chako....
Ningekuwa nanunua kinakuwa changu hakuna neno yaani ningewapangisha Tanesco alafu nikiona vipi nawaongezea kodi kwenye nguzo yangu.... au siku nikihama wananipa changu (kulingana na value of the day of sale)...
Au mnasemaje TANESCO
Ngumu sana kaka kuuvunja muungano.Bora uvunjwe haraka sn