dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,500
- 3,481
Pemba hali ni tete, vurugu kati ya maafsaa wa polisi na raia zimeripotiwa hii Leo huku mamia ya wapemba wakikimbilia Mombasa katika nchi jirani ya Kenya.
Ikumbukwe vurugu hizi zinakuja ikiwa ni Siku moja tu baada ya Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi visiwani humo ndugu Jecha kutoa waraka wake kwa vyombo vya habari kuwa hali ya usalama visiwani humo ni salama na Amani.
Mungu iepushe Tanzania na haya majanga
===================
Update: 19:00HRS
Hizi Picha hazihusiani na Uchaguzi unaoendelea Zanzibar. Hizi Picha zinazosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii ni za kupotosha. Ni picha za Zamani kipindi cha Uamusho Zanzibar Julai 2012.