Zanzibar peace and unity at stake after annulled election

well written and researched. Yaani hii article moja ni bora kuliko ripoti nzima ya TEMCO!

Ripoti inatoa mwanga hali halisi ya siasa Zanzibar. Pia mwandishi amelezea vizuri sababu zilizo mpelekea maalim Seif kutanganza majumuisho ya kura. Hesabu hizo hazina tofauti na hesabu za majimbo 31 ambayo ZEC tayari imeshatangaza.
 
Back
Top Bottom