Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

Status
Not open for further replies.
Jibu ni kwamba madai yake ya msingi anataka uganda liwe taifa la kikristo na kufuata amri kumi,hilo ndio dai lake la msingi,na kwanini unapenda kutumia maandishi mekundu,huoni kwamba unaashiria umwagaji damu,i'm just saying bro!
Naona hatuelewani, labda niulize kivingine: Nitajie nyumba za ibada, viongozi, na waumini wa dini ambao ni walengwa "maalumu" wa Kony kwenye mashambulizi yake. Huko Zanzibar tumeshuhudia dini fulani tu ikilengwa kwenye mashambulizi; kwa ufananisho huo, nitajie upande wa Kony.
 
Usiwe unakurupuka kuchangia uzi huku umesoma kimawenge...

Mahali gani DSN ametaja itv? Au sikuhizi Radio 1 huko kwenu inaruka moja kwa moja ktk luninga?

nadhani niliinyaka habari sekunde za awali kabla hajaedit ndo maana utaona hata post yangu nilikua mtu wa tatu.NOT A BIGDEAL.
 
Kwa majibu yangu Mi binafsi sijapendezwa na hili tukio hata kidogo!

MUNGU ampe huyu padri apone na hata ashuhudie mwenyewe haya yote!


Kwa Mujibu wa Mtangaji Faruku Karim, inasemekana hali yake sio nzuri na amekimbizwa hospitalini huku wakiangalia kama kuna uwezekano wa kumleta Tanzania Bara.
 
Wacheni chokochoko za kidini zisizo kua na maana.mimi nipo tomondo ni majambazi yaliyobeba risasi walianza kufyatua barabari na watu walikimbizana na hatimae kila wanaemuona mbele walikua wanamlenga kwa bahati mbaya geti na padre lipo sambamba na njia na hapo ndo akakumbana na risasi.hata mimi ningelikuweko mbele ningalipigwa risasi na nikapoteza maisha.wacheni ushabiki wakidini kwa kua ni padre ndo hastahki kupata ajali ambayo mungu ameshaipanga!bull shit!
Ebu tuondolee hii sintofahamu kwa kuwa mwenyewe unasema ulikuwa kwenye tukio ,ujasema walikuwa wanaiba uanchsema ni majambazi waliokuwa wanafyatua risasi ovyo,wanafyatua risasi pasipo tendo la wizi wenye kwenye eno husika,bali ni ufyatuzi wa risasi hivi hivi tu.!!!Imekaaje hiyo ebu tufafanulie!!!!
 
Mkuu Tumbiri, please behave!.

RIP ya nini?.

Get well Soon Padri,

Sisi Wakristo kama kawaida yetu, tunamuomba Mungu awasamehe kwa maana hawajui watendalo!.

Pasco

Kweli hawajui watendalo...walimwagia tindikali yule shehe...sasa wanapiga risasi padre...wanafikiri wakibaki waislam wenyewe watakaa salama...
 
Umesahau na uganda mchungaji joseph kony anavyoeneza neno la bwana kwa mtutu wa bunduki

Ngoja tusubiri taarifa zaidi tusikimbilie kwenye judgement moja kwa moja,hawa waseja wana matatizo ya kutembea na wake za watu kwa kificho,inaweza pia kuwa sababu si lazima kila tukio kulihusisha na chuki za kidini ama kisiasa,nadhani bado tuna kumbukumbu ya kilichomtokea kamanda mateo rpc pale mwanza ambako uamsho hawako

kivipi kamanda,kosa langu kusema tusifanye pupa kuhukumu?kwani hii ni mara ya kwanza mtu kupigwa risasi nje ya geti kaka?inaweza kuwa ya kwanza kwa zanzibar lakini vipi mwanasheria mwaikusa na kamanda mateo?nao kulikua na udini au siasa?!!!!!!!!!!!!!!!

attachment.php


Padre Ambrose Mkenda akiwa hospitali
KIM KARDASH katika hali kama hii, kabla ya chuki nyingine binafsi ulizo nazo juu ya mapadre na wakristo ambazo unazidhihirisha hapa, ingekuwa uungwana kutoa pole tu kwa huyu ambaye amekutwa na mkasa huu.
 
Last edited by a moderator:
Leo alikuja kijana amevaa kanzu nyumbani kwangu akiomba msaada wa fedha kwa ajili ya kituo cha kulelea watoto yatima, kwa kifupi nilimwambia sina pesa. Ni mara ya nne kuja, siku za nyuma walikuwa wawili, walishakuja wakiomba mchango kwa ajili ya ujenzi wa icho kituo nikawapatia. Wakaja tena wakiomba kwa ajili ya ujenzi wa Madrasa nikawapatia, wakaja kwa ajili ya watoto yatima nikawapatia.

Baada ya haya majanga wanayoyafanya kwa sisi Wakristo nimesitisha michango na najuta kuwapa michango siku za nyuma. Kwa hii habari ya leo akija/wakija nitamwambia/nitawaambia wazi aende/waende kutafuta michamgo kwa waislamu wenzao.

Taja kiwango cha pesa ambacho umeshatoa mpaka sasa nikurudishie. Weka na account number yako hapo. Acha kashfa.
 
Tunamuombea mungu amnusuru ampe uhai wa hawa mashetani wakamatwe, wapate aibu na adhabu yao stahiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom