Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 3,829
- 4,057
Rais JPM alishatoa msimama wake hatoingilia masuala ya Zanzibar,pia tumeshuhudia hata baadhi ya viongozi wakitoa msimamo kama huo,huku wengine hawaizungumzii kabisa Zanzibar.
Kwa muktadha huo basi,mahusiano ya Tanganyika/Tanzania na Zanzibar ni sawa kabisa na ule wa Kenya,Uganda,Rwanda na hasa Burundi kwa namna ya uchaguzi ulivyofanyika. Tumeshuhudia viongozi wakishindwa kukemea siasa chafu.
Hivyo basi tuwaache Wazanzibar waendeshe mambo yao,tutawasaidia pale watakapotuhitaji tu.
Ya Zanzibar hayatuhusu wala msishiriki katika dhambi ya kumtaja rais JPM juu ya siasa za huko.
Uchaguzi umekwisha kwa amani,tofauti tu na ule wa Burundi kimatukio.