Zanzibar ndio mlango wa Tanzania huko duniani hata dini zetu kuu ziliingia kupitia Unguja

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,853
141,772
Kiukweli Zanzibar ina watu wachache ukilinganisha na Tanganyika lakini watu wake wamejaa weledi na tamaa ya mafanikio.

Hata Fifa wangeiruhusu Zanzibar kujitegemea katika soka wangekuwa washacheza fainali za kombe la dunia.

Hongereni Zanzibar kwa kututoa kimasomaso katika kila kona hata kwenye Tuzo za kimataifa.
Sasa tunaisubiri ya Mo Ibrahim!

Maendeleo hayana vyama!
 
Zanzibar inabemendwa na Tanganyika
 
Back
Top Bottom