ZANZIBAR, nchi isiyo na jela

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Hivi mnajua kama zanzibar ni nchi pekee Afrika isiyo na jela? wao wana kitu kinaitwa CHUO CHA MAFUNZO! huko wakaa, ukija toka watoka na ufundi wako kisha bas! sina hakika kama wananyonga kule visiwani
 
Brazameni,

Kwi kwi kwi!!! Hata uite Hotel, huko bado ni jela tu mkuu.
 
labda ikiwa nchi kamili na yenyewe itakuwa na Jela kwasababu siyo nchi wacha isiwe na Jela
 
Back
Top Bottom