Zanzibar naona mpaka kieleweke: sasa nafasi za uwakilishi kimataifa(ubalozi

Do we really need Zanzibaris? They need us

What is their contribution towards the cost of running the union affairs? They contribute nothing. They deserve nothing.

We should demand that contribution towards the costs associated with our union should be 50/50

Let them break away and leave us in peace. they are together only because of the union. once the union is not there they will be like Somalia[/
HIZI NI KAULI ZA KIPUUZI KAMA ALIVYO DAI HUYO BABA ALIYEKUFA KUWA ANGEISHI MIAKA 100 NA BAADA YA KAULI YAKE HIYO MUNGU ALIYE MKUU WA ULIMWENGU HUU AKATUONYESHA KUWA HUYO MZEE NI MUONGO NA KUINYOFOA ROHO YAKE HUKO UK AKIWA KITANDANI!!!

HIZI NI KAULI ZA KISHIRIKINA ZA KUTABIRI TABIRI KAMA ALIVYOKUWA AKITUTABIRIA HUYO MZEE KUWA ZANZIBAR WAKIJITENGA BASI HAWATABAKI WAMOJA! HUO NI UONGO ULIO MWEUPE KWANI ZANZIBAR ILIANZISHWA MWAKA 1964? AU ILIKUWEPO TANGU ENZI NA ENZI? MBONA HUKO NYUMA KABLA YA WAKOLONI KUJA WAZANZIBAR WALIKUWEKO BILA YA TATIZO ANALODAI HUYU MZEE?

KAMA ZANZIBAR IMEKUWA MZIGO KWETU BASI NA TUUTUE! HAKUNA ALIYETULAZIMISHA KUUNGANA NAO LAKINI KAULI ZA KUTISHANA NA DHARAU MBELE YA WA ZANZIBAR KATU SISI WA TANGANYIKA TUNAO HESHIMU UTU WA KILA BINAADAMU HATUTAKUBALI!!

TUACHANE NA ZANZIBAR NA MAFUTA YAO NA SISI TUTAFUTE YETU KWANI NA HAKIKA TUKITAFUTA HUMU HUMU KWETU TUTAYAPATA HAKUNA HAJA YA KUTAMANI YA WENZETU!

QUOTE]
 
Ntaka nijue:
  1. je zanzibar inagharimia nini kwenye hizi balozi zetu?
  2. ikiwa itakuwa huru itamudu yenyewe kuwa na hizi balozi?
balozi zinagharamiwa na Jamhuri ya muungano, Zanzibar na Tanzania Bara hawachangii chochote, ila uwakilishi mkubwa wa mabalozi wanatoka tanganyika, hapo ndipo penye malalamiko
 
Kimsingi hawa jamaa wana hoja,na hoja yenyewe ni ya serikali tatu.kama kila mmoja angefanya majukumu ya serikali yake ikiwa pamoja na kuchangia kwa uwiano gharama za kueindesha serikali ya muungano angestahili jambo fulani kwa uwiano tuliokubaliana.Muungano wa nchi haujali idadi wala ukubwa wa nchi.tuwasaidie wapate nchi yao nasi Tanganyika yetu.
 

kwa kweli tunakoelekea kunatisha, likiisha hili linaibuliwa hili:

Serikali ya mapinduzi Zanzibar imesema hakuna uwiano wa kutosha katika nafasi za kazi za utendaji kwenye afisi za kibalozi nje ya nchi kati ya vijana wa Zanzibar na Tanzania bara.

Waziri wa nchi afisi ya makamu wa pili wa rais Mohammed Aboud amesema tatizo hilo ni moja ya kero za muungano zinazoshughulikiwa ili wanzanibari waweze kuajiriwa katika afaisi hizo.

Akijibu suala katika kikao cha baraza la wawakilishi amesema serikali imeona upo umuhimu kwa nafasi za ajira katika ofisi za kibalozi kuajiriwa kwa usawa kati ya vijana wa Zanzibar na Tanzania bara. Hata hivyo waziri Aboud amesema kuchelewa kuyapatia ufumbuzi matatizo ya muungano likiwemo suala hilo kunaweza kuwafanya wazanzibari kutokuwa na imani kwa vile hawafaidiki na matunda ya muungano.


source:
HAKUNA UWIANO WA UAJIRI NAFASI ZA KIBALOZI | Mzalendo.net

Sifa zitakiwazo wanazo au wanataka tu nafasi? kwa idadi ya watu katika visiwa hivyo kwa sasa walio viongozi wa nafasi mbali mbali ni zaidi ya asilimia 60 ya idadi ya watu. Nani ataongozwa ? au wanataka tu kupata uluwa?
 
nnachokiona kwa uwazi juu ya hili kuwa huu muungano hasa wazanzibari hawautaki, lkn wanatafuta sababu nyengine. sasa nnajiuliza kwa nn kuzunguka? kinachoogopwa nn ?
si watangaze tu kuwa jamani eeeh, sisi muungano basi, na tupange jinsi ya kutafuta kuuvunja kwa amani.
maana sasa tunapoelekea kunatisha

Mkuu, hakuna asiyetaka Muungano, otherwise ungeshavunjwa! Sema kinachozungumzwa hapa ni kile kinachoitwa "usawa!"
 
Hivi hawa jamaa vipi? Kila kitu wanataka kiwe sawa? Muungano wa wapi huo? USA ni Muungano wa nchi nyingi lakini husikii Jimbo la Texas au Hawaii au Florida wanalalamika hawana mwakilishi nje ya nchi!!!!

Cha msingi ni maslahi ya Taifa haijarishi katoka State ipi. Kweli acha NYERERE aitwe Mtakatifu aliyaona haya zamani sasa yanatimia!!! Nyerere alisema huo ni ulevi tena ulevi wa madaraka!!!

Mimi nawashauri hao wawakilishi hebu wajadili jinsi ya kuwaletea maendeleo wazanzibar!!! Sisi wengine tumeoa na tuna ndugu kule mbona mnataka kutugombanisha na ndugu zetu kwa tamaa zenu za uongozi na ving'ora vya magari!!!!!!
tumia akili yako usitumie akili ya watu wengine. hivi ikweli unaweza kufananisha muungano wa USA na wa Tz. ikiwa ndo umeona hivyo sawa burner.
 
Tanganyika ina idadi ya watu 43 milioni,Zanzibar ina idadi ya watu 1 milioni.Tukitafuta formulae ya usawa idadi ya watu lazima iangaliwe,gharama za uendeshaji nacho ni kigezo muhimu usije kuta Zanzibar mchango wake zero halafu wanalalamikia ajira.

Wacha utaahira wako wewe! Hawaujaunganisha watu na watu bali zimeunganya nchi na nchi, hata kama Zanzibar ingekua na watu 1000 tu kwa vile zimeunganisha nchi ni lazma pawepo na uwiano sawa! Usione kwa sasa tunaendesha mambo kiuenyeji.
 
Waangalie pia na huku kungine:
-JWTZ tuwe nusu kwa nusu.
-Police, UwT tuwe nusu kwa nusu.
-BUNGE nalo wavunje BLW kisha tuwe nusu kwa nusu.
Kwa namna hii na mwendo huu kila MZANZIBARI atakuwa kwenye AJIRA.

hahahaahaa.....kwahiyo tutakosa wazenji wa kutucho,ea mishikaki pale forodhani? Wote watakuwa kwenye ajira serikalini..

I like this.
 
Huo uwiano wa nusu kwa nusu kati ya nchi yenye raia zaidi ya milioni moja na yenye raia zaidi ya milioni arobaini, ni kama kuzibwa macho kwa miwani ya jua.

Manalazimisha tu mungano muungano, mungano wenyewe ni kama gunia miba.
 
[/i]wee, hapa kuna muungano baina ya nchi mbili tanganyika na zanzibar! Hapa pana zungumziwa haki sawa ktk muungano huo! Hapazungumziwi muungano wa "population" au idadi ya watu bali ni muungano baina ya nchi na nchi!
Zanzibar nchi maskini hata kama wangeungana na nchi tajiri na kubwa kama nigeria suala ni mgawanyo sawa baina yao! Sas vigezo vyako hivi vya kudai tanganyika milioni 43 na zanzibar m.1, na uchangiaji wa pato la nchi wewe umevitoa wapi? Au viko ktk mkataba wa muungano?

Kwani wakati mnaungana nao hamkujua zanzibar ina watu milioni 1? Hakuna kitu kinachoniuma kama unafiki na uhasidi!!!

Nonsense!
 
Tanganyika ina idadi ya watu 43 milioni,Zanzibar ina idadi ya watu 1 milioni.Tukitafuta formulae ya usawa idadi ya watu lazima iangaliwe,gharama za uendeshaji nacho ni kigezo muhimu usije kuta Zanzibar mchango wake zero halafu wanalalamikia ajira.
Mkuu Ngongo
Hili la Gharama na Mapato ya shughuli za Muungano(mambo ya Muungano) limefanywa ni siri nyeti.

katika mijadala ya karibuni hapa JF, hasa ile mada ya Jussa kumtukana Sitta. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tta-nyerere-na-wa-tz-bara-18.html#post3071438
Kuna sehemu katika ile video Jussa anadai kuwa kulingana na tathmini na ushauri uliotolewa na mshauri mwelekezi ni kuwa bajeti ya shughuli za muungano inajitosheleza na kunakuwa na salio.

Hii ripoti ni vizuri tuitafute na yule atakaeweza kuiopoa basi aimwage hapa ili tuone kama viongozi wetu wanatuongopea au wanasema ukweli.

Ni wazi Muungano huu wa TZ una kasoro zake, lakini moja ya kasoro hiyo ni hii ya watu kuona kwa sababu Zanzibar ni sehemu ndogo(nchi ndogo) haistahiki fairness au usawa.

Pili linaloongeza utata wa Muungano huu wa TZ ni kuwa Tanganyika na Zanzibar waliunganisha baadhi ya mambo tu ambayo yamepewa jina la mambo ya Muungano na kila nchi, aka sehemu au jimbo(Tanganyika na Zanzibar) kubakisha baadhi ya mambo kuwa ni mambo ya Tangayika na mambo ya Zanzibar ambayo si mambo ya Muungano

Tatu, Muunndo wa serikali mbili, serikali ya Muungano wa (Tanganyika na Zanzibar) aka Tanzania,- ambayo pia inafaya kazi za mamlaka invisible ya Tanganyika- na uwepo wa serikali ya Zanzibar inayoonekana umeshindwa kuweka bayana mipaka ya jurisdictions tatu. Kama huelewi hoja hii soma vitabu vya Prof. Shivji et al ambao wanaufafanua Muungano wa TZ kuwa ni wa serikali mbili na mamlaka tatu za kisheria; mamlaka ya mambo ya muungano, mamlaka ya Tanganyika(Tanzania bara) na mamlaka ya Zanzibar.


Kwa bahati mbaya ya ushabiki, watu tunalizungumza suala la muungano kiushabiki wa simba na yanga na kwa jazba huku tunajaribu kufumba macho ili tusione kasoro za muungano wenyewe. Hili linapelea kejeli, dharau au kila mtu kuvutia maslahi ya upande wake badala ya kuutizama Muungano katika context yake halisi, kuwa zipo nchi mbili zilizokabidhi baadhi ya madaraka yake katika chombo cha pamoja na kubakisha baadhi ya madaraka yake kushughulikia mambo yake kivyake vyake.


Mimi binafsi naona Muungano wetu kuwa ni kiini macho, mazingaombwe au kama uchawi upo basi ndio huu muungano wa TZ. Wengine wanachagua sifa yenye ladha, husema Muungano wetu ni unique!

Uniqueness nnayoiona mimi ni utata tu. Utata ambao ni time bomb kama tutaendelea kuutizama muungano huu katika jicho/ upeo ambao wengi tunatamani uwe muungano ambao utaua Mamlaka ya Zanzibar vile vile kama mazingaombwe yalivyoficha/yalivyoua mamlaka ya Tanganyika. Na hivyo basi kila wanalolisema au kulipigania wale wa upande mmoja wa muungano ambao ni kidogo kiidadi inaonekana kuwa ni upuuzi, au si madai ya msingi, au wamezidi katika chetu chetu, chao chetu kwa vile sisi ni 40 over millions.

Kuna msemo wa sisi watu wa pwani unaosema, "mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni".

Salama yetu, amani yetu, umoja wetu, mshikamno wetu unategemeana pia na utoaji wa haki usio na upendeleo. Na kila mtu awe shuhuda wa kuona kuwa haki inatendeka.

Kuna madai yameshawahi kutolewa kuwa Zanzibar ilichangia 11- 12 % ya mtaji wa uanzilishi wa Benki Kuu ya Tanzania. Kama hili ni kweli, Leo tunaelewa kuwa Zanzibar wanapewa 4.5% ya mgao wa faida. Katika lugha ya mtaani tungesema huu ni utapeli. Katika lugha ya kisheria tungesema ni wizi.:lol:
 
Mkuu, hakuna asiyetaka Muungano, otherwise ungeshavunjwa! Sema kinachozungumzwa hapa ni kile kinachoitwa "usawa!"
Mkuu Buchanan

Tupe shule juu ya huu "usawa". Huu unawezekana katika Muungano wa TZ?
Kweli wengi wa wachangiaji wanakuwa na hofu au kuona kuwa bora Muungano upotee kutokana na uelewa wa Mfumo/Muundo wa Muungano wenyewe.
Haueleweki! Haueleweki!
Ona watu wanatoa mifano ya Mfumo wa US au UK. Huu wa kwetu, si aina moja kati ya hiyo. Muungano wetu is brand new from hell!
Ona nchi yetu na watu wake walivyo utaelewa kuwa ,we like our hell! Tutaulinda kwa hali yoyote ile.
 
Hawa wapuuzi ukiwasikiliza sana watakuondolea stimu tu bure, kama viongozi wao wenyewe wana kaswende za ubongo kama huyu Jusa unategemea kusikia kitu gani cha maana kutoka kwa hawa wapumbavu!!??
 
Hawa wapuuzi ukiwasikiliza sana watakuondolea stimu tu bure, kama viongozi wao wenyewe wana kaswende za ubongo kama huyu Jusa unategemea kusikia kitu gani cha maana kutoka kwa hawa wapumbavu!!??

Mkuu Matola

Inaonekana umeshaisahau hii post yako.....jikumbushe

Wapuuzi unapowafanyia upuuzi ni lazima utegemee watakurudishia upuuzi.

Vilevile unapojigeuza mpumbavu na wao watajifanya wapumbavu.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tta-nyerere-na-wa-tz-bara-18.html#post3071074


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tta-nyerere-na-wa-tz-bara-18.html#post3071438
 
Mkuu Matola

Inaonekana umeshaisahau hii post yako.....jikumbushe

Wapuuzi unapowafanyia upuuzi ni lazima utegemee watakurudishia upuuzi.

Vilevile unapojigeuza mpumbavu na wao watajifanya wapumbavu.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tta-nyerere-na-wa-tz-bara-18.html#post3071074


https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...tta-nyerere-na-wa-tz-bara-18.html#post3071438

Honestly mimi nimeshachoshwa na huu Muungano ambao Viongozi wa Tanganyika wao ndio wanajuwa interest zao ni nini, lakini hakuna Mzazibar anaetaka Muungano zaidi ya hawa ambao wanapata ulaji kupitia serikali ya muungano.
Mimi ninavyomfahamu Nyerere ni lazima kuna changa la macho aliwapiga hawa Wazenj kwenye huu muungano, lakini ametuachia tatizo kubwa sana.
 
Huu muungano aliyeshiriki kuunda alikuwa kichwani amejaza matope kwakweli, haueleweki utafikiri utatu mtakatifu aagh!
 
Honestly mimi nimeshachoshwa na huu Muungano ambao Viongozi wa Tanganyika wao ndio wanajuwa interest zao ni nini, lakini hakuna Mzazibar anaetaka Muungano zaidi ya hawa ambao wanapata ulaji kupitia serikali ya muungano.
Mimi ninavyomfahamu Nyerere ni lazima kuna changa la macho aliwapiga hawa Wazenj kwenye huu muungano, lakini ametuachia tatizo kubwa sana.

Hapa hapana kuzunguka mbuyu...Nyerere alipewa kazi na kanisa katoliki kupambana na kitovu cha uislamu katika ukanda wa Afrika Mashariki. Alipewa na wanajeshi wakina Okello kufanya hiyo kazi. Mnakumbu aliwambia wa tz kama kujadili Muungano ni sawa na uhaini? Alikuwa na lengo gani? Alifanikiwa kiasi fulani lakini Mzanzibari wa leo sio yule wa miaka ya 60s.
 
Back
Top Bottom