Zanzibar: Msichana wa kazi abakwa na Boss wa Miaka 74, Polisi wadaiwa kupoteza Ushahidi

Mbona Bongo sikuhizi sana tuu, Munapelekana kwa Mparange kama kawa,
Semeni ukweli
WakatiZenji tunaachana na ujinga huu nyinyi ndo mnashobokea kinoma.
Si ajabu hata wewe mmoja wapo, huna haja ya kuja Zenji nenda Mbagala au kinondoi utapata haja yako
porno ndo zinapelekea haya yote, watu wanaiga sana, kumbe zile ni filam kama zilivyo filam nyingine full uongo. Naskia skuiz watu wanaiga mpaka mapenzi ya kwenye video yale ya filam za kifilipino, sijui kwa wabongo ushamba na ujinga utakuja kuisha lini?
 
Mshtakiwa Sadalla Juma Sadalla mwenye umri wa miaka 74 mkazi wa Bububu, Unguja, atafikishwa mahakamani Vuga, Unguja siku ya Jumatatu ya Agosti 30, 2021, kwa makosa ya kumbaka msichana wake wa kazi mwenye umri wa miaka 15.
IMG_20210827_094735.jpg
 
Kazi za ndani kwa wengi ni utumwa uliokubalika katika jamii. Ingawa biashara ya utumwa ilikomeshwa duniani karibu miaka 200 iliyopita.
 
Siwezi kuamini ujinga wa huyo housegel.
Mtu wa miaka 74 mpaka iamke lazima kwanza ipashwe au ipigwe hendeli ongezea na nguvu hafifu ya wazee. Mpaka amliye training, ambue skin Tait na Nini na Nini bado imesimama tu na mwanamke Kama hayuko tayari kule ndani Ni kukavu inamaana Babu alitumia KY. WANAMUONEA WANATAKA KUMVHOMOA PESA TU. ANGEKUA MLIPATOZO WASINGESEMA.
 
Ila tuache masihara hili swala la ubakaji zanzibar inatakiwa serikali itangaze kama janga la kitaifa maana haya matukio yameshamir sana kibaya zaid kesi nyingi ni za kuingiliwa watoto kinyume na maumbile inasikitisha sana kwakweli.
 
Hapa sidhani kama kuna ukweli juu ya hili, kwa maisha tuliyonayo Watanzania miaka 60 tu mashine kuinuka shughuli seuze 74?? Kuna walakini na taarifa hii
 
Back
Top Bottom