Zanzibar: Msaidizi wa Injinia wa Meli ya MV Mapinduzi ajinyonga meli ikiwa safarini

Jamaa ana mambo ya ajabu sana ..
Kama ni kujiua si bora angefanya akiwa chumbani kwake.. sasa anajiua kwenye meli ambayo ina watoto + kuchelewesha watu na safari zao..

Anyway R.I.P mkuu
 
Pambaffffff! Huna moral authority ya kumwambia mtu anakurupuka!
I do hv ....
tuliza mzuka.....
kachambe vizuri....
vuta uradi.....
Pata facts kamili then....
then unakuwa na haki ya kutoa maoni
lkn usidandie dandie mambo kama goli la asubuhi.....
utakwama....
 
Pole wafiwa, ila wangefikisha hao maelfu walio hai halafu wakatafuta namna ya kuleta mwili hata wangekodi ndege ni dk 20tu na wangetumia gharama kidogo kuliko kutumia hiyo meli kubwa yenye maelfu ya walio hai.
 
Mkuu Sasa assume wamemkuta mtu ananing'inia kamba shingoni ikiwa imekazwa kuanzia kwenye paa unazani taarifa ingetokaje ?
Tatizo kwenye taarifa hakuna mahali palipoonesha hivyo
 
Back
Top Bottom