Zanzibar mpaka Dar es Salaam kumfuata mtoto wa Kipare

Hukumpenda? Mbona unamwongelea kama wa kutumia tu?
Nilimpenda, sema mwenyewe alivyorudi shule na baada ya kumaliza akaenda chuo ndo yakatokea yakutokea hatukutana tena, ila namkumbuka mno, alikua mtamu hakika, hata huyo mwana kama anaye, najua atakua anafaidi utamu wallah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom