Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,592
- 11,831
Wazanzibar hamueleweki kabisa katika nyakati hizi za kampeni Mana kwenye kila mkutano uwe wa maalim Seif na ACT yake au uwe wa Mwinyi na CCM yake nyomi la watu linakuwa kubwa.
Hapo mnatoa dalili gani kuhusu mshindi halali wa uchaguzi?
Mana Kuna mgombea mmoja yeye kila akiona nyomi kwenye mkutano wake anaamini kwamba wote watamchagua na huwa mara nyingi yeye ndio huwa wakwanza kujitangaza ushindi kabla ya Tume kutangaza na anaamini kwa idadi ya watu kwenye mikutano yake basi huwa anashinda na kuibiwa Kura.
Kwa hali hii atakae tangazwa na Tume basi tutaamini ndio mshindi halali na si porojo za kuibiwa Kura .
Kujaa kwenu kwenye kila mkutano wakati idadi ya wazanzibar inahesabika itamfanya kila mgombea aamini kuwa anawafuasi wengi hivyo kauli ya Tume ndio itakuwa sahihi na singinevyo.