Siyo kawa 100% tena?Kwa hichi kimbunga na maafuriko yaliyotokea mwanza mpaka wengine kukosa nafasi naamini kabisa JPM anaenda kushinda kwa zaidi ya 80%
Milioni 28?Ndio kaondoka lakini yeye na Lisu wana urafiki binafsi alimtuma akamchukulie hela Kenya
Nenda jukwaa la udakuLisu na kubenea ni marafiki wakubwa Lisu Ndie alimpa ushauri wa kisheria kubenea jinsi ya kumwekea pingamizi mgombea ubunge wa Chadema ubungo Boniphace Jacob
Unajichanganya sana we malaya. Kubenea hayupo ubungo na hagombei ubungo na aliyeweka pingamizi ubungo si Kubenea!!Lisu na kubenea ni marafiki wakubwa Lisu Ndie alimpa ushauri wa kisheria kubenea jinsi ya kumwekea pingamizi mgombea ubunge wa Chadema ubungo Boniphace Jacob
Aisee upo dunia ya wapi wewe? Kubenea ni mgombea ubunge kupitia ACT wazalendo na ndie alimuwekea pingamizi mgombea wa Chadema wa Jimbo hilo Boniphace Jacob baada ya kupewa ushauri wa kusheria kutoka kwa rafiki yake Lisu na akamtupa njeUnajichanganya sana we malaya. Kubenea hayupo ubungo na hagombei ubungo na aliyeweka pingamizi ubungo si Kubenea!!
Mmepanic kama Kamongo wenu alivyopanic!!
Mmetumia mamilioni kuandaa mkutano Mwanza eti kujibu mafuriko ya Lissu HAHAHAHAHAHAHA!!
Kwa tulivyokuwa tunaaminishwa, hata Mimi walinizoa kwenye mkumbo. Lakini kadri siku zinavyokwenda na yule wa upande wa pili anapoongea mapungufu na wanapanic naona ngoma ni nzito. Hapa ndo naiona thamani ya kioo.Nilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Nashukuru mkuu Leo umetambua hili mpaka wewe mkuu umekubali basi atakaekuwa anabishana na ukweli wako anatakiwa kupimwa akiliNilikuwa nadhani kuwa Uchaguzi Mkuu huu ujao wa Oktoba 28, 2020 utakuwa mrahisi kwa Mgombea fulani na Chama fulani ila sasa naogopa mno.
Kauli hii nimefurahi kuisikiaAzuiwe haraka! Anakwenda "kuchomoa betri" kuhusu Muungano. Leo ndio Magu atamjua Lisu ni nani!
Kaijage lazima aangushiwe jumba bovu baada ya uchaguzi, kwanini alimpa fomu na kisha kumpitisha!
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Mwambie zito na membe labda ndo walimtuma lisu hawezi mtuma mtu kuchukua hela ndogo kiasi hichoMwambieni Lisu Kubenea kadakwa na pesa zake alizomtuma akachukue kenya
Gwajima tumempa kazi ya kulifuta jike shupa la kawe
Ndo upumbavu wao wapinzani wakijaza unaaambiwa hawapigi kura haoH
Hako haumati km malori hakawezi kuzidi mafuriko ya Tundu Lissu.....
Hiyo ni fiesta wamejaa watoto wa shule tena za msingi kwani hao ndio wapiga kura?
Dah, yani leo anaenda kufuta kura za mzanzibar kwa ccmAzuiwe haraka! Anakwenda "kuchomoa betri" kuhusu Muungano. Leo ndio Magu atamjua Lisu ni nani!
Kaijage lazima aangushiwe jumba bovu baada ya uchaguzi, kwanini alimpa fomu na kisha kumpitisha!
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Ila Gwajima atakuwa kawa mba_to sana kondooo wake wengi sana ikiwemo wake za watu walio maarufu na wasio maarufuWale kondoo kashawamaliza kuwala mivutu kanisani kwake ??
Gwajima tumempa kazi ya kulifuta jike shupa la kawe
Ila wakijaza wao ?Ndo upumbavu wao wapinzani wakijaza unaaambiwa hawapigi kura hao
Zanzibari CCM hairudi, na ikirudi kwa mabavu hapakaliki, mwenye macho haambiwi onaUchaguzi huu ulikuwa mwepesi sana kwa Yesu mtu, tatizo lugha za vitisho anazotumia wakati wa kampeni zinampunguzia credibility ajithamini kwa hilo ingawa bado nafasi ya yeye kuwa rais ni kubwa mno. Ila kwa Zanzibar kazi ipo kwa Hussein Mwinyi.