Zanzibar: Meli kongwe ya MV Mapinduzi yagomewa na wananchi

Na Mwandishi wetu

Meli ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar MV MAPINDUZI inakabiliwa na changamoto kubwa la uhaba wa abiria katika safari zake inazofanya kwa ratiba maalumu kutoka Unguja kwenda Pemba na kutoka Pemba kwenda Unguja; jambo ambalo linahatarisha kusimama kwa ratiba yake endapo hali itabaki kama ilivyo sasa.

Wananchi wa Zanzibar bila ya muhali wameamua kwa makusudi kuisusia Meli Kongwe ya MV MAPINDUZI kwa kutumia usafiri wa meli za Bakharesa ili kuikosesha pato Serikali ya Rais wa ZEC Ali Muhamed Shein.

Akizungumza na mtandao wetu abiria aliepanda Meli hiyo wiki hii kutoka Pemba kuja Unguja amesema hali kwakweli si nzuri na inahuzunisha.

“Kwa upande mmoja ni raha kupanda MV MAPINDUZI, haina msongamano na viti vitupu tabaka zote, lakini upande wa serikali inaumia kupakia mizigo michache na abiria wasiozidi 60 katika ratiba ya safari zake” Alieleza abiria huyo kwa sharti la kutotajwa jina lake.

Kafuatia taarifa hiyo Mtandao wetu ulifanya kazi kuzungumza na mmoja wa watendaji wanaohusika na menejimenti ya meli hiyo na alikua na haya ya kueleza “…….unapotia mafuta katika meli ili kwenda na ratiba ya safari za meli unatarajia kupata abiria wengi na mizigo ili kupata faida; kinachotokea sasa na hali inayoendelea ya siku hadi siku inasikitisha, soko la meli yetu linazidi kuanguka kutokana na migomo,

Wananchi mbali mbali wameendeleza migomo ya kuisusia MV MAPINDUZI ili kuikosesha mapato serikali na kuwakataa watawala waliojiweka madarakani kinyume na sheria na katiba ya Zanzibar.
 
MELI KONGWE YA MV MAPINDUZI YAGOMEWA NA WANANCHI WA ZANZIBAR
Written by Said-Said // 15/06/2016 // Habari // Maoni 3

index-300x168.jpg

Acha uongo,la`anatuallah
We unajua Nauli ya Mapinduzi na bei ya Boats za Azam?Na unazijua Mv Mapinduzi Kongwe na hii Mpya?
Majitu mengine shzw type sana,Siasa kila kitu,watu mmekuwa wapumbavu kila kitu kufanya Siasa

Siasa Zanzibar imeanza leo?Kama huijui Pemba kaa kimya
Nyie ndio walee mambulula mliosema kwamba Pemba watu wamekimbilia Msitu wa Ngezi,Waziri akawaumbua na kuchukua waandishi wa habari na kwenda kukuta hakuna kitu kama hicho na kila mmoja yupo kwake.

Mmekalia Siasa za kijuhaaa
Kwani wakipanda za Azam hujui kama napo Serikali inaingiza Kodi?Sasa wanaikosesha vipi mapato au shule hauna?Yaani na wewe unalipwa kabisaa na bosi wako kama mwandishi wa Habari,aisee

Aina hii ya waandishi kwa nchi hii bado kazi ipo kweli.
Kama ni mgeni wa Zanzibar na unaingiliwa na Siasa,miezi ya kuanzia Raajab,Shaaban,Ramadhan,huwa haina abiria wengi
Acha kujitoa ufaham kipumbavu
Hii meli inauwezo wa kufanyakazi bila kutegemea Idadi kubwa ya Abiria,inatakiwa utambue kwamba Serikali yenyewe inaitumia meli hiyo kwenye taasisi zake zoote baina ya visiwa hivi viwili.

Na kama meli kwa Zanzibar hazijaanza leo,wakati AZAM hazijaanza kwenda Pemba kulikuwa na Boat Binafsi kama Ms.Sepideh ambayo ilikuwa kubwa,na Wakati huo Serikali ilikuwa na Meli Mbili Kubwa yaani Mv.Mapinduzi na Mv.Serengeti na zote zilikuwa zinaenda Pemba.Na kama uchaguzi huu sio wa Mwanzo

Yaani nimeuita Mwanangu wa Std 7,nimempa asome,imebidi acheke kwa kuona etu na huyu ni Mwandishi,yaani eti Serikali kuokosesha mapato,wakati wakipanda hata AZAM bado serikali inaingiza hela vizuri tu.Nyie Vilaza ni sheeeeda kwenye Taaluma za watu.

Aibuuu,ukitumwa ujue na Kujipanga,mwenzio alisema ametekwa kumbe kajiteka mwenyewe,leo hii kimyaa kwa aibu
 
Uchaguzi wamarudio NAY
Meli ya mapinduzi NAY
Bustani ya mnara wa Mapinduzi NAY
Viwanja vya Kariokoo subiri Idd.
 
Acha uongo,la`anatuallah
We unajua Nauli ya Mapinduzi na bei ya Boats za Azam?Na unazijua Mv Mapinduzi Kongwe na hii Mpya?
Majitu mengine shzw type sana,Siasa kila kitu,watu mmekuwa wapumbavu kila kitu kufanya Siasa
Siasa Zanzibar imeanza leo?Kama huijui Pemba kaa kimya
Nyie ndio walee mambulula mliosema kwamba Pemba watu wamekimbilia Msitu wa Ngezi,Waziri akawaumbua na kuchukua waandishi wa habari na kwenda kukuta hakuna kitu kama hicho na kila mmoja yupo kwake.
Mmekalia Siasa za kijuhaaa
Kwani wakipanda za Azam hujui kama napo Serikali inaingiza Kodi?Sasa wanaikosesha vipi mapato au shule hauna?Yaani na wewe unalipwa kabisaa na bosi wako kama mwandishi wa Habari,aisee
Aina hii ya waandishi kwa nchi hii bado kazi ipo kweli.
Kama ni mgeni wa Zanzibar na unaingiliwa na Siasa,miezi ya kuanzia Raajab,Shaaban,Ramadhan,huwa haina abiria wengi
Acha kujitoa ufaham kipumbavu
Hii meli inauwezo wa kufanyakazi bila kutegemea Idadi kubwa ya Abiria,inatakiwa utambue kwamba Serikali yenyewe inaitumia meli hiyo kwenye taasisi zake zoote baina ya visiwa hivi viwili.
Na kama meli kwa Zanzibar hazijaanza leo,wakati AZAM hazijaanza kwenda Pemba kulikuwa na Boat Binafsi kama Ms.Sepideh ambayo ilikuwa kubwa,na Wakati huo Serikali ilikuwa na Meli Mbili Kubwa yaani Mv.Mapinduzi na Mv.Serengeti na zote zilikuwa zinaenda Pemba.Na kama uchaguzi huu sio wa Mwanzo
Yaani nimeuita Mwanangu wa Std 7,nimempa asome,imebidi acheke kwa kuona etu na huyu ni Mwandishi,yaani eti Serikali kuokosesha mapato,wakati wakipanda hata AZAM bado serikali inaingiza hela vizuri tu.Nyie ****** ni sheeeeda kwenye Taaluma za watu.

Umetokwa na puvu kama umefturu uji wa omo vipi jamaa kupiga ikulu nini
 
Uchaguzi wamarudio NAY
Meli ya mapinduzi NAY
Bustani ya mnara wa Mapinduzi NAY
Viwanja vya Kariokoo subiri Idd.
Ukiwa hujui kitu kuwa mpoole wa Mkoani
Viwanja vya Kariakoo vinafanya vizuri tu,na events kibao zinafanyikaa pale za wakubwa na watoto,muulize Mzee Majuto akujuze.
Ila kama huna mtoto huwezi kujua umuhim wa Uwanja wa Kariakoo.
Mnara wa Mapinduzi,ambae hajaenda pale ni wa mkoani,ila upo vizuri na unafanya vizuri.Ni VIP pale,sio Bustani za Bure,ulinzi wa kutosha Wifi bureeee,usafi wa hali ya juu mno.
 
Umetokwa na puvu kama umefturu uji wa omo vipi jamaa kupiga ikulu nini
Jamaa hajui kitu,halafu anasema yeye mwaandishi.
Anaitia aibu taaluma ya uandishi wa habari kwa ashk zake za Siasa za majitaka na kusahau kuweka kumbukumbu sawa kichwani mwake.
Siku hizi hawa waandishi ni majanga,ki Certificate tu basi sheeda mjini
 
Acha uongo,la`anatuallah
We unajua Nauli ya Mapinduzi na bei ya Boats za Azam?Na unazijua Mv Mapinduzi Kongwe na hii Mpya?
Majitu mengine shzw type sana,Siasa kila kitu,watu mmekuwa wapumbavu kila kitu kufanya Siasa

Siasa Zanzibar imeanza leo?Kama huijui Pemba kaa kimya
Nyie ndio walee mambulula mliosema kwamba Pemba watu wamekimbilia Msitu wa Ngezi,Waziri akawaumbua na kuchukua waandishi wa habari na kwenda kukuta hakuna kitu kama hicho na kila mmoja yupo kwake.

Mmekalia Siasa za kijuhaaa
Kwani wakipanda za Azam hujui kama napo Serikali inaingiza Kodi?Sasa wanaikosesha vipi mapato au shule hauna?Yaani na wewe unalipwa kabisaa na bosi wako kama mwandishi wa Habari,aisee

Aina hii ya waandishi kwa nchi hii bado kazi ipo kweli.
Kama ni mgeni wa Zanzibar na unaingiliwa na Siasa,miezi ya kuanzia Raajab,Shaaban,Ramadhan,huwa haina abiria wengi
Acha kujitoa ufaham kipumbavu
Hii meli inauwezo wa kufanyakazi bila kutegemea Idadi kubwa ya Abiria,inatakiwa utambue kwamba Serikali yenyewe inaitumia meli hiyo kwenye taasisi zake zoote baina ya visiwa hivi viwili.

Na kama meli kwa Zanzibar hazijaanza leo,wakati AZAM hazijaanza kwenda Pemba kulikuwa na Boat Binafsi kama Ms.Sepideh ambayo ilikuwa kubwa,na Wakati huo Serikali ilikuwa na Meli Mbili Kubwa yaani Mv.Mapinduzi na Mv.Serengeti na zote zilikuwa zinaenda Pemba.Na kama uchaguzi huu sio wa Mwanzo

Yaani nimeuita Mwanangu wa Std 7,nimempa asome,imebidi acheke kwa kuona etu na huyu ni Mwandishi,yaani eti Serikali kuokosesha mapato,wakati wakipanda hata AZAM bado serikali inaingiza hela vizuri tu.Nyie ****** ni sheeeeda kwenye Taaluma za watu.

Aibuuu,ukitumwa ujue na Kujipanga,mwenzio alisema ametekwa kumbe kajiteka mwenyewe,leo hii kimyaa kwa aibu

MAJIPU at work..

Wewe ndio kilaza kabisa kama Jesca, mapato ambayo inapata meli ya serikali kutoka kwa abiria moja kwa moja iwe sawa na mapato ambayo ni asilimia haizidi 10 kutoka kwa kila abiria anaepanda meli za azam? na hizo siasa unazosema kuwa eti kipindi hiki hakuna abiria ni uwongo mkubwa sana, kati ya Unguja na Pemba usafiri hauna msimu wa low session, kila siku meli na ndege zinajaza abiria. Nikwambie tuu Zanzibar siasa haikwepeki mpaka watawala watakapo kubali kukaa chini. Na ninaandika hapa haitomaliza June na July meli hii kongwe itawekwa ufukweni au itafanywa sehemu ya lodge kwa ajili ya kulaza wageni badala ya kupakia abiria kwa mgomo huu ulioshamiri wa Wapemba, ni ninaposema wapemba hawa ndio abiria pekee ambao serikali na meli zote zinaowategemea, ni watu ambao wanasafiri sana tofauti wale wa kisiwa cha Unguja.
 
Na kama meli kwa Zanzibar hazijaanza leo,wakati AZAM hazijaanza kwenda Pemba kulikuwa na Boat Binafsi kama Ms.Sepideh ambayo ilikuwa kubwa,na Wakati huo Serikali ilikuwa na Meli Mbili Kubwa yaani Mv.Mapinduzi na Mv.Serengeti na zote zilikuwa zinaenda Pemba.Na kama uchaguzi huu sio wa

SMZ haijawahi kuwa na Meli kwa jina la Mv Serengeti, kwa kumbukumbu zangu imewahi kuwa na meli hizi
  • Mv Mapinduzi
  • Mv Maendeleo na
  • Mv Jamhuri.
 
MAJIPU at work..

Wewe ndio ****** kabisa kama *****, mapato ambayo inapata meli ya serikali kutoka kwa abiria moja kwa moja iwe sawa na mapato ambayo ni asilimia haizidi 10 kutoka kwa kila abiria anaepanda meli za azam? na hizo siasa unazosema kuwa eti kipindi hiki hakuna abiria ni uwongo mkubwa sana, kati ya Unguja na Pemba usafiri hauna msimu wa low session, kila siku meli na ndege zinajaza abiria. Nikwambie tuu Zanzibar siasa haikwepeki mpaka watawala watakapo kubali kukaa chini. Na ninaandika hapa haitomaliza June na July meli hii kongwe itawekwa ufukweni au itafanywa sehemu ya lodge kwa ajili ya kulaza wageni badala ya kupakia abiria kwa mgomo huu ulioshamiri wa Wapemba, ni ninaposema wapemba hawa ndio abiria pekee ambao serikali na meli zote zinaowategemea, ni watu ambao wanasafiri sana tofauti wale wa kisiwa cha Unguja.
Subirini isimame halafu endeleeni kupeana hizo drip zenu,maana drip anapewa mgonjwa ila nyie wazima mnapeana drip,hivi akili kweli?
Yaani mnaboost threads za kipumbavuuu,eti mpaka watakapo kaa chini ndio meli zijae.Kama mgomo sema CUF na Sio wapemba.
Wapemba wanapanda meli kama kawaida,na wale CUF wenye akili timamu wanapanda kama kawaida.We unajua bei ya ndege?na wakipanda ndege hawajui kama pia Serikali inapata kodi na pesa inaingiza pia?
Mtanyoooka tu,hii ndio SMZ mziki mnene

Punguza ushabiki. Wenzako wanaongea hali halisi.
 
Back
Top Bottom