Zanzibar 2020 Zanzibar: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 toka maeneo mbalimbali

Aibu matokeo ya jana ya uchaguzi wa mapema Zanzibar,askari kibao wamepigia ACT wazalendo,wanachofanya Zec ni kuziharibu kwa kuongeza michoro.

na hapa Tanganyika wazalendo wengi wamekasirika kwa kuonekana wanaothaminiwa ni walinzi wa kigeni kutoka nchi jirani ambao ndio hutoa ulinzi kwa misafara ya viongozi wa CCM.
Toa Upumbavu wako
Kutwa Kudanganya Watu tu
 
Waangalizi wa ndani wa usimamizi wa uchaguzi nchini Tanzania upande wa visiwani, wameeleza kuwa upigaji kura umeenda vizuri.

Waangalizi hao kutoka taasisi binafsi wamesema kuwa wamepata ushirikiano mkubwa katika kupata taarifa, ila pamoja na yote matatizo madogo yaliyojitokeza ni mvua na wananchi waliojitokeza kupiga kura hasa wenye mahitaji maalum kupata nafasi kupiga kura.

Mpaka jioni hii bado wanaendelea kusubiri kutangazwa kwa matokeo zaidi.
 
Mwenye update ya kinachoendelea kuhusu matokeo ya uraisi Zanzibar alete hapa mrejesho maana nasikia ccm imekaliwa kooni.
 
Mwenye update ya kinachoendelea kuhusu matokeo ya uraisi Zanzibar alete hapa mrejesho maana nasikia ccm imekaliwa kooni.
Kwa sasa majeshi ndiyo yanapelekwa huko mkuu, uchaguzi ushaharibika ila kinachofanyika ni uhuni na kuua watu.

Sijui kiongozi anayekuja kwa huko Zanzibar anataka kutawala au kuongoza watu, maana amekaa kimya huku damu zikiwa zinatapakaa chini.
 
Mkuu majeshi yalishafika huko tangu zamani, kungekuwa na chombo kinachoweza kumulika yanayoendelea huko ungeshangaa. Corona haikuiweka Zanzibar kwenye lockdown lakini Uchaguzi umefanikiwa kulockdown sehemu kubwa sana ya kisiwa
IMG_20201029_152405.jpg
IMG_20201029_152402.jpg
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom