Zanzibar: Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad, Mkewe Bi Awena waambukizwa virusi vya Corona

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,823
35,827
Wewe si ndio umesema kwamba hiyo label inafanyiwa upotoshaji kwa malengo ya kisiasa? Sasa utasemaje hili swali sio mahala pake? Nami nikataka kujua kwamba ni Criteria gani basi walitumia ili kuallocate hiyo chanjo kwa nchi za Afrika zenye watu wenye ngozi nyeusi tu pekee, ili tuweze kujua kwamba kuikataa hiyo chanjo ni sahihi au ni upotoshaji kama unavyodai. Badala yake unataka niwaulize WHO walati wewe ndio tunajadili na ndie uliyetoa hoja, kama hujui basi funga mdomo na wacha serikali iendelee na msimamo wake maana huna hoja unatafuta huruma ya WHO. Kuhusu nyungu hazigawiwi kwenye viboksi na mtu yeyote anaweza fanya akitaka.

Angalizo:
Jinsi unavyoandika maelezo marefu halafu yanakuwa hayana hoja ndani yake, inatia shaka sana juu ya utimamu wa akili yako, andika short, clear and to the point

Miye si mtengeneza dawa, WHO wala mfadhili.

Mfadhili na mtengeneza dawa hawawezi kukosa criteria zao zikiwamo hali ya ugonjwa, uwezo uchumi, utawala bora na hata ukichwa ngumu wa viongozi wao katika nchi husika.

Kwamba hayo wewe hujui. Kwamba unataka mimi nikupe criteria zote za kugawa hii dawa hali mimi si WHO, mfadhili au mtengenezaji? Ni wazi kuwa wewe ni wale mataga halisi kwa damu.

Kwani mataga ni nguo tu? Wa mavazi ni wabaya zaidi. Yaonyeshwa mataga wewe umeguswa vilivyo na hoja za uzi huu kwenye maslahi yako ya tumbo.

Kwani mataga nyie huwa mna hoja zaidi ya matumbo yenu?

Kushadadia mimi kukupa criteria zote za kugawa dawa, ni wazi kuwa hizo ni jitihada butu zilizoshindwa za ile mitaga nguli kujaribu kuhamisha magoli ya uzi huu.

Magoli yako wazi:

1. Hakuna mkatoloki uchwara yeyote aliye muumini kuliko papa, mapadre, maaskofu, maparoko, nk.

2. Hayupo mwenye kugawa dawa zake au aliye mfadhili asiyekuwa na criteria kwa walengwa wake. Mataga hawawezi kudai au kuweka masharti yao yoyote kwenye hilo. Wakitaka wakayaweke kwenye nyungu!

3. Hayupo mataga yeyote mwenye kuwa na uchungu na dunia hii kuliko watengeneza dawa, WHO, wafadhili, wala Bill Gates. Jamii hii iliyostaarabika imeonyesha yao kwa vitendo. Mataga mmefanya nini zaidi ya udhulumati?

4. Ni wajibu wa serikali kutuhami na majanga kama haya. Mataga na wenzao ambao hata kodi hamlipi hamuwezi kututoa kwenye hilo. Uzalendo wenu ni upi kutolipa kodi na kupoteza watu?

Magoli yanaendelea kuwa wima pale pale yalipokuwapo. Mataga wenzio wote wanalijua hilo na wamesha retreat mashimoni mwao. Kukunong'oneza ni kuwa hata wenzio watakuwa wanakucheka.

Huna hoja!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Back
Top Bottom