Zanzibar - Madawa ya Kulevya yavutwa hadharani

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
Vijana waishio eneo la Kikwajuni wamekutwa wakivuta madawa ya kulevya hadharani, hii inatokana na kasi kubwa ya vijana wa Kizanzibari kujihusisha na madawa ya kulevya. Taarifa hii imeonyeshwa na TBC 1 saa 2 usiku. Inasikitisha sana, ningemshauri mwandishi atembelee na eneo la MIKUNGUNI.
 
pia ripota wa tbc asiache kufika miembeni,ila hata dar mateja wengisana ila jiji kubwa hawaonekani kiurahisi nawanajificha,ila hii ya zenj too much utazani hakuna serikali! Mateja yanajidunga mchana kweupeee hata hayanahofu,dr shein na maalim seif na viongoz wote wa zenj fuatilieni hilijambo kwamakinisana,kamateni wanaoleta huo unga,ukitaka kukata mbuyu unaukata shinani hapo mpk matawi yanaakufa.
 
Nasikitika rafiki zangu wengi ezi hizo mwanzo na mwa miaka ya 90 nilipokuwa nikizudhuru saana afrika hasa visiwa vya unguja lakini takriba vijana wote wa eneo la vuga na darajani wametoweka hapa duniani kwa ajili ya madawa ya kulevya
sikuamini ila baada nilipokuja kukutana na wachache walio salia nilishtuka na kukubali kweli hizi ni dawa za kulevya na nikaanza kuamini kuwa kupigwa kwake marufuku kulitokana na janga hili kwani wameathirika zaidi ya wagonjwa wa ukimwi
 
pia ripota wa tbc asiache kufika miembeni,ila hata dar mateja wengisana ila jiji kubwa hawaonekani kiurahisi nawanajificha,ila hii ya zenj too much utazani hakuna serikali! Mateja yanajidunga mchana kweupeee hata hayanahofu,dr shein na maalim seif na viongoz wote wa zenj fuatilieni hilijambo kwamakinisana,kamateni wanaoleta huo unga,ukitaka kukata mbuyu unaukata shinani hapo mpk matawi yanaakufa.

Mimi nadhani Dar inaongoza na hawajifichi, kote kote jijini kati na kwenye vitongoji. Hata kuna kituo kimoja cha television walikuwa na documentary iliyokuwa ikiwaonyesha hao waheshimiwa wazi wazi.
 
Katika taarifa ile kuna Kijana alikuwa anaeleza kwamba wako mabosi wanaoingiza na wanawajuwa, tena akasisitiza kwamba wao wanatanua na magari ya kifahari. Nafikiri serikali ichukue hatua kuwafuatilia hao mabosi, kweli vijana wanaharibika sana.
 
mabosi hawakamatani......
 
Back
Top Bottom