Zanzibar kwanza muungano baadae | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar kwanza muungano baadae

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by miftaah, Jun 2, 2012.

 1. miftaah

  miftaah Member

  #1
  Jun 2, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zanzibar yetu mutuachieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 2. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #2
  Jun 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Na bara pia mtuachaie,muondoke mapema sana,kwa lipi la maana kama sio kutukera?
   
 3. a

  adolay JF-Expert Member

  #3
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,586
  Likes Received: 3,063
  Trophy Points: 280
  We kweli unamatatizo.

  Zanziba yenu muachiwe nani kakushika na kukuzuia kufanya maendelo uyatakayo?

  Katiba mmebadilisha mnayo ya kwenu

  Rais mnayae mawaziri, wizara na haki zote zinginezo.

  Kuna watanganyika wangapi kwenye mfumo wenu wa uongozi?

  Selikali kuu wako watanganyika wagapi? hakuna

  Ndani ya balaza la wawakishi wapo watanganyika wangapi? Hakuna.

  Kunamawaziri wangapi waliowatanganyika katika serikari ya zanzibar? hakuna.

  hakuna?
  hakuna...?
  hakuna.......hakuna......hakunaaaa........??????????????????????????????????

  Tuangalie huku tanganyika. Nakwasbabau tunawapenda hatujali ubaguzi wa aina yoyote ile hatukulalamika eti wazanzibari mnatuzulum.

  Serikali kuu. Nahoza, hussen mwinyi, Zakia megji, ghalibu bilal na wegine kibao hatulalmiki.

  Mjegoni, wabunge kutoka zanzibar wengi tu hatulalamiki.

  Sasa kubakia zenji yenu huoni kwamba nyinyie ndo mnaopoteza??

  Hakika tukijia watanganyika mtajigawa kuwa wapemba na wanguja, baadae mtaanza wakojani waende kwao, wa wai tunataka utawala wetu, nawa wa mwembemadafu tunataka uhuru wetu.

  Ni mpujiga tuu ndie anaye weza kutetea umbumbumbu wako.

  Kwanza wewe untafaidikaje zanzibar ikijitenga ???

  Kwenden zenu na zanzibar yenu. ZAIDI ya yote mnatihalibia utengamano wetu huku tanganyika kiasi kwamba mandevelop or propergating racism. (MMEANZISHA MGAWANYIKO WA KIDINI HUKU KWA UJINGA NA UBAGUZI WENU HUKO VISIWANI)
   
 4. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #4
  Jun 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,315
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  you are not yet a JF Great thinker ,

  train to think by yourself
   
 5. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #5
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Very soon wa TZ tutakuwa machizi. Kwa hali hii inavyokwenda!!!
   
 6. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #6
  Jun 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,315
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  LISTEN AND THINK BY YOUSELF

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. brazilian

  brazilian JF-Expert Member

  #7
  Jun 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Twaawaachi Zenj yenuuuuuuuuuuuuu! Kibera we
   
 8. miftaah

  miftaah Member

  #8
  Jun 2, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata unachoongea haukijui shehe wangu...
  Kwani Gharib bilal,zakia meghi,nahodha kuwemo kwenye mfumo wa serikali ya muungano ndio kitu gani? na wasipokuwepo kwenye serikali ya znz ndio kitu gani? hebu kasome katiba inasemaje? na ndio mna tukasema kwamba tunataka serikali tatu na serikali kuu iwe serikali ya muungano na nyengine ni serikali ya zanzibar, serikali ya tanganyika na serikali ya muungano na ndio mana tukasema tunataka muungano urekebishwe na wale waliosema hawautaki muungano sio kma hawautaki muungano ila wanachokisema wao kwa muungano huu hatuuutaki tunataka muungano utaokua na faida kwa pande zote mbili sawaaaaaaaaaaa....kma imekuuma utaumia sana sisi tukijitenga na nyinyi.........
   
 9. b

  bumes Senior Member

  #9
  Jun 2, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  BINADAMU ANAUWEZA WAKUFAHAMU mda uleule saa ijayo haelewi nini kitatokea anaishi kwamipago yake na tumaini kwa mambo yawe hivyo anapaga lakini MUNGU analake.

  Mimi nigependa wa Zanzibari wapewe inchi yao badao wanweza kufuraia faida yake au kujuta hakuna mtu anajua.

  Jana katika kipindi cha ITV mzanzibari moja alisema, usalama wa Africa Mashariki na Africa ya kati unategemea Zanzibari.

  Hayo maneno sijui kama mwenyewe anayelewa.

  Kwaufupi kikundi cha WA UAMUSHO sio cha kuvuja sababu niwazi kwamba kinatumiwa tu kukivuja sio sululu,

  Hacheni tuzugumuze, wale wanataka ku uboresha waseme na wale wanataka ku uvunja waseme ili twelewane.


  TO OTHERS DONT BE USED AS BRIDGES FOR OTHER PEOPLE TO CROSS TO THEIR DREAMS, IN YHIS WORLD YOU ARE ALONE DESPITE YOU LIVE AND PRAY WITH MANY PEOPLE, YOU ARE BORN ALONE AND YOU DIE ALONE AND GOD IS NOT INTERESTED IN RELIGION AND THEY ARE KNOWN TO HIM, GOD'S PEOPLE ARE ONE AND HE KNOWS THEM, BELONGING TO ONE GROUP OR THE OTHER DOES NOT MATTER.

  Your fellow human beings things and lives are lost and you use God's name and say we going to pray to ask God to help us for our cause. what of others if he asks are you more important than them.
   
 10. a

  adolay JF-Expert Member

  #10
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,586
  Likes Received: 3,063
  Trophy Points: 280

  Sawa yakhee inshakuelewaaa.

  Naumia kwasababu wenzentu hamtutaki ati. umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu. Tuachane kwa amani basi tusiuanee.

  mshashinda at hujui bado?
   
 11. miftaah

  miftaah Member

  #11
  Jun 2, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jembe langu nimefurai sana kua umenielewa mna ni wachache sana wenye moyo kma wako wa kuelewa mara moja....ila mm siwaungi mkono kwa yeyote anaetaka uvunjike muungano kwa kuuana nataka muungano uwepo na tena kwa manufaa kwa wote sio lao letu na langu ni langu peke yangu....na kma kuvunjika uvunjike amani..
   
 12. B

  Bull JF-Expert Member

  #12
  Jun 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumekuwa na mipango ya makusudi liliyoandaliwa na Makanisa wakishirikana na Viongozi mafisadi kujaza Makanisa Zanzibar na kuhodhi ardhi ya Wazanzibari,
  Makanisa hayo yamejazana kama uyoga yakfuatiwa na Migahawa ya nyama ya Kiti moto, baa na umalay uliokithiri mitaani
  Zaidi ya 98% ya WaZanzibari ni Waislam, ukuwaji wa makanisa hauwiani kabisa na idadi ya wakiristo wahamiaji waliopandikizwa kwa ajili ya kuaribu mila na dasturi za Wazanzibar

  Kama Wazanzibari hamtokuwa makini, basi mtakuwa kama Wapalestina walivyo porwa ardhi yao na Waizraili
   
 13. a

  adolay JF-Expert Member

  #13
  Jun 2, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,586
  Likes Received: 3,063
  Trophy Points: 280
  Kwamwewe.

  Zidhani kama nilivyoelewa mimi kwenye hii vedeo ndivyo ulivvyoelewa wewe.

  1. Wanasiasa wasiachwe kuiharibu tanznia, viongozi wa dini awsimame wakemee kila hila na uovu wa wanasiasa (viongozi - waislam kwa wakristu)

  2. CCm imeongoza zaidi ya miaka arobaini na haina jipya iachie madaraka kwa wengine wenye fikra mpya kwasababu imeshindwa kuikombowa inchi katika dimbwi la umasikin.

  3. Ccm iluwa waislamu kule zanziba kwasababu hawautaki muungano, picha zilionesha askali polisi, jeshi vifaru nk katika kuuwa na kukanadamiza. Na kwamba viongozi wa kikristu katu hawapendi ccm kuuwa waislam kule zanziba.

  4. waislamu waachiwe huru iliwajiongoze kule zanzibar kwa jinsi watakavyo ccm isiwatawale kimabavu.

  5. Nyerere aliikimbiza katiba haraka haraka na kwa ujanja ujanja bila muafaka wala makubaliano thabiti na wazanzibari.

  6. Mwishon mtumishi wa mungu ansema, Mungu hapendi damu ya watanzania kumwagika kwanamna yoyote ile.

  Hapa ndipo tutafakali kwa ujumla wake.

  wanasiasa wasiachwe kuiharibu tanzania yaani bara na visiwani- Wanasiasa Ni mjumuiko wa waislamu na wakristu ifahamike. Malasusa, pengo na wengine wengi wamekuwa wakiikemea serikali kwa unyanyasaji na maovu mengi inayotenda kwa raia wake lakini bila aibu wengine wanakurupuka kuwasimanga viongozi hawa kwamba si kweli ni kwasababu ya udini wao.

  CCm imeshindwa kuongoza ni kweli tunahitaji fikra mpya zenye mtazamo chanya kwa maendeleo ya taifa letu na vizazi vijavyo. Lakini sera za udini na kibaguzi ndizo nguzo za ccm nani hatambui hilo. Vyama vingine vikiibuka na wagombea wao wenye sifa nzuri kabisa ushabiki wa kidini unaingia. CCM inapata mwanya inashinda nani alaumiwe kama tunachaguwa kwa kuangalia huyu John anafaa na yule seif hafai. Rais anapatikana kwa nadharia ya udini tusilalamike, tena wameongeza na yapili- jenda sasa hivi -tunataka mwanamke .......Tafakali. (Tunahitaji uwezo wa mtu si dini yake au jinsia yake)


  Uhuru wa waislamu Zanzibar na kuwawa kwao na CCM.

  Inapasa kuwamwanaphilosophy kumuelewa mtumishi wa mugu kwa hili. Kama wakristu wapo zanziba kwa karne kadhaa kabla ya muungano unawawaweka kudi gani?
  a) Ametowa kauli hiyo akizingatia ratio by percentege. Amewakilisha ujumbe kupia waislamu kwasababu ndio waliowengi si kwamba katika pulkushani hizo wakristu hawakuwepo.

  b) Si kweli walioathilika na vurugu hizo niwailasmu peke yao kwasabau hata pale tembo wanapopambana nyasi miti na viumbe wengine huathilika. Kama indivyo je walikuwa waulia kuwa wewe ni dini gani? wakati wa vurugu ili ushughulikiwe, hapana yeyote aliye kuwa maeneo ya matukia aliathilika, iwe maduka, magari na mari zinginezo. Na kama uhuru utatolewa kwa waislam tu zanzibar wakristu watapataje haki zao. Ni suala la kumuelewa mtumishi wa mungu kwa alichukizwa sana na mateso yaliyo sababishwa na ccm kwa wazanzibari ambao wengi wao ni waislam.

  C. Utawala wa CCM huko zanzibar kwa ujumla wake ni viongozi kutoka dini ya kiislam sasa napata mashaka kwamba inakuwaje, Rais wa serika ya mapinduzi zanziba, Naibu kiongozi wakati ule, mawaziri, wakuu wa jesh la polisi, wakuu wa JKU na pia Mafunzo, wabunge nawengineo ambao bilashaka kwa asilimia nikama 99% waislam na ni wanaCCM kulidhika wailslam wenzao kuangamizwa. Inatubidi kutafakali vizuri kwamba CCM- zanziba 99% ni waislam kama ni hujuma tuanze na hii 99% ya viongozi kulizia.

  Katiba muungano na janja ya nyerere.
  Muungano wetu ulijumuisha vyama vya TANU na AFLOSHILAZ part. Wazanzibar wakiwa ndani ya selikari ya mapinduzi ya zanziba na afroshilaz part kama 95-98% kwa makadrio waislam. Waliingia ndani ya muungano kwa sababau kwa wakati ule wao waliona muungano unfaida. Abeid Amani Karume ni mwislamu, Nyerere mkristu sasa kama kwa wakati muungano ulikuwa na manufaa hasa ya kujilinda na kujikomboa sioni tatizo tuseme hivyo. Bali kama kwa sasa muungano hauna manufaa ni suala lingine, nakama CCm ndio kikwazo kwanini huko zanzibar msiingushe badala yake CAFU chama kilichoweka matarajio makubwa kwazanzibari kinaungana na CCM na matatizo ya wanasiasa wetu na uchu wa madaraka. CAFu inajidhofisha yenyewe na suala na wazanzibar kukandamizwa na janja ya nyerere kimsingi sioni hoja kwa sababu wazanzibar mnahusishwa katika mambo makuu ya msingi na mnajitawala na kuuwana wenyewe tuwatakali wanasiasa wetu hapao zanzibar sio kurusha mawe huku Tanganyika.


  Mwisho anasema (mtumishi wa mungu) Mungu hapendi damu ya watanzania narudia watanzania (watanganyika na wazanzibar imwagike kwa namna yoyote ile ili tu kukidhi tamaa za wanasiaja katika kutwala nk. Anaumizwa kwa ujumla wake kuona watanzania waislamu, wakristu wapagani na wengineo wapata shida, kunyanyaswa, kuuwawa kama ndivyo kwa taamaa tu ya watawla.

  Video hiyo inajaribu kuonesha madhambi yanayofanywa na CCM kwa takribani miakaa arobani hapo nyuma. Uwakilishi wa kiasilimia yani uingi si kusema kwamba ni waislamu tu hapana anajaribu kunesha madhara kwa idadi kubwa ya wazanzibari ambayo ni ya waislam.

  Kuchukuwa ujumbe mzimamzima bila kuuchambua na kutafakali madhara yake ndo hayo tunaitaka zanzibar yetu, oh tunaonewa sana, tunanabaguliwa na mitihani yetu tunafeishwa- wameenda wamekaguwa nakujirisha kwamba waliofeli na kukatiwa mitihani ilikuwa halali yao.

  TUJIFUNZE KUVUMILIANA NA TUSIWAPOTOSHE WATU KWA SENTENSI MOJA BILA KUUCHANGANUA UNDANI WAKE.
  HAKUNA UHUSIANO WA KUPINGA MUUNGANO NA KUCHOMA MAKANISA AU KUFUKUZA WABARA AU KUCHOMA MABAA.

  kAMA KIAMA KIPO NA MOTONI KUPO KILA MTU AAMINI NA KUSADIKI ANACHOKIONA SAHIHI KWAKE KWASABABU SIKU YA KIAMA MUNGU ATAHUKUMU ILMRADI KATIBA INARUHUSU.

  TUMUACHIE MUNGU KUHUKUMU SIO KAZI YA BINADAMU NI UDHAIFU WA KIIMANI KWA YEYOTE ANAYEHUKUMU KWA NIABA YA MWENYEZIMUNGU IWE CCM, AU WAKRISTO IWE WAISLAMU TUACHE MUNGU ATAAMUA VINGINEVO AU KINYUME NA HAPO TUAMINI KWAMBA HAKUNA KIAMA WALA PEPO BALI KILA KITU KITAKUWA HAPAPA DUNIAN

  ............................................END...............................................................................................
   
 14. d

  demulikuy JF-Expert Member

  #14
  Jun 2, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 80
  Kabla ya kuondoka tulipeni kabill ketu ka umeme ni Sh.50 Billioni tu!
   
 15. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #15
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  hizo ni ndoto kwani hatuwezi tukaacha gas na mafuta ya zanzibar vikaenda kirahis rahis hivi maana zenji ni koloni la tanganyika.

  Chezea wabara weye..............
   
 16. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #16
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mkuu naomba uni-pm nikupe ela ukasome tution ya olevel ili uje ni jinsi gani inakuwa vigumu kwa nchi kuachia koloni lake, so hata nyie zenji ni koloni letu ss wabara na pia ss wabara ni nchi ya kwanza ya Afrika na ya pekee kumiliki koloni ktk hizi zama za utandawazi kwani ss bara tunawazidi mpaka south kwa maujanja kama haya.

  Chezea wabara weye....
   
 17. GHIBUU

  GHIBUU JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,188
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Rais kafungwa kamba ya dodoma,tunataka zanzibar yetu mutuachieee,na kile kiti chetu cha umoja wa mataifa mutupe wenyewe tafuteni chenuuu
   
 18. A

  Albimany JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 279
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45

  Huyu padri sijui kama hataambiwa anachanganya dini na siasa kama uamsho.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Fungasheni na ondokeni wajinga nyie mkauwane kwani mmezoea kuuwana msituharibie nchi yetu kwa ujinga wa Wilaya moja (znz)
   
 20. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,315
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  NDANI YA JELA ZA NYERERE

  [FONT=&amp]Katika mwaka 1968 Hakimu Seaton, Hakimu wa Mahakama Kuu; alitembelea gereza la Mwanza.
  Nilimuuliza kama kuna uhalali wowote juu ya kuwekwa kwetu kizuizini.

  Mkuu wa gereza akamwambia Hakimu kuwa hakuna karatasi zozote zilizoletwa pamoja na mawaziri wa zamani wa Zanzibar.

  Hakimu akaahidi kulifuatilia suala hili. Baada ya miaka minne tangu wakati huo, nikiwa katika gereza la Bukoba, Katibu wa Mkuu wa Mkoa alitoa shauri kuwa nimuombe Raisi anitoe kizuizini.

  Nalimwambia kuwa kwa vile sijui nini kosa langu la kuwekewa kizuizini naona sina hoja za kimsingi juu ya ombi langu. [/FONT]

  [FONT=&amp]Alinijibu, "Hapana shaka ulipotiwa kizuizini ulisomewa amri ya kutiliwa kizuizini." [/FONT]

  [FONT=&amp]Nilimwambia kuwa, vile ninavyo kumbuka mimi hapakuwepo amri ya mimi kutiwa kizuizini.
  Suprintendent wa magereza akanambia kuwa ilikuwepo amri, hapo akanisomea hio amri ambayo ikionesha kuwa inatokana na Raisi na ambayo imeandikwa kwa lugha ya kisharia.

  Amri hio inasema kuwa Raisi baada ya kutoshelezeka kuwa, fulani na fulani; akiwataja mawaziri wote wa Serikali ya Muhammad Shamte, kuwa walikhusika na vitendo vya uchochezi wa kukhatarisha salama ya nchi, alitoa amri tutiwe kizuizini.

  Nalipomuuliza amri hio ilitiwa sahihi lini, ilidhihiri ilikuwa ni mwaka wa 1968, baada ya muda mchache tangu pale nionane na yule Jaji Mkuu, Seaton kwenye gereza la Mwanza![/FONT]

  [FONT=&amp]Sisi tulivamiwa nchi yetu na kutiwa vizuizini katika mwaka wa 1964. Najuwa kulikuwa na mapinduzi (mavamizi) huko Zanzibar, na hicho kitendo cha kiharamia iwe kimetokea huko.

  Lakini tangu kati ya mwaka wa 1964 pale tulipotiwa vizuizini mpaka hii 1968 ambapo hii amri ya kutiwa kizuizini kutolewa na kutiwa sahihi; wakati huo wote - miaka minne - kuwekwa kwetu kizuizini na yeye Raisi Nyerere ambae ndie aliekuwa na hukumu yote huko Tanzania bara basi hakukuwa kisharia hata katika hio sharia ya kidhalimu ya Tanzania.

  Kwa muda wa miaka minne kabla ya kutiwa sahihi hii amri ya kuwekwa vizuizini sisi tulikuwa basi ni wafungwa wake yeye Nyerere.

  Je, ndio inayumkinika katika muda huo iwe yeyote miongoni mwetu sisi tuweze kufanya vitendo vya uchochezi wa kukhatarisha salama ya taifa?

  Tujaalie kuwa inakusudiwa ule muda kabla ya kukamatwa na kutiwa kizuizini.

  Wakati huo sisi tulikuwa ni mawaziri wenye mas-ulia kwa vile tulichaguliwa kulingana na sharia ya kikatiba iliokuwepo nchini - Zanzibar - wakati huo.

  Je, sisi wakati huo tutaweza kuwa tutende kama vile ilivyoelezwa katika hio amri iliotiwa sahihi na Julius Nyerere?

  Kama itakavyokuwa, hilo taifa linalo elezwa kuwa ni Tanzania; halikuwepo kabla ya sisi kukamatwa na kutiwa vizuizini.

  Huyo ndio mkuu wa nchi, anaejigamba kuwa yeye ni mwenye kuweka haqi, anafika kuzuwa na kupanga uwongo kama huo; ni jambo la kushangaza sana; lakini kwa watu kama yeye sio ajabu kulitenda.

  Baada ya kupata hoja hizi ndipo nilipomwandikia Raisi, bila shaka maandishi yangu yalikuwa ni ya upole na kweli za hakika.

  Sikupata majibu. Kwa hakika sikupata hata mara moja jawabu au hata kuarifiwa kuwa zimefika, baruwa zangu kadhaa wa kadhaa nilizompelekea Nyerere, tangu niko kizuizini na hata baada ya kutoka. Utaritibu wa hishima kama hio Tanzania inaonekana ni mpango wa kikoloni uliokwisha pitwa na wakati.[/FONT]

  [FONT=&amp]Dr. Kleru alikuwa ni Mkuu wa Mkoa aliepigwa risasi na mkulima, Abdulla Saidi Mwamindi; siku ya krismasi mwaka 1971. Mkulima huyu, Abdulla Saidi, alikuwa ni miongoni mwa watu kadhaa wa kadhaa walionyang'anywa mashamba yao kwa kuwanzishia vile vijiji vya ujamaa. Jeuri ya Mkuu wa Mkoa huyu ilifurutu ada.

  Waliokuwa wakiteswa na kudhulumiwa na Mkuu wa Mkoa huyu walishitaki kwa wakuu wa chama.
  Kila wakishitaki huambiwa wakashitaki polisi; na wakifanya hivyo.

  Kamanda wa Polisi, Abubakar aliwaonya wakuu huko Dar es Salaam juu ya vitendo viovu na vya kuudhi vya Mkuu wa Mkoa huyu na juu ya ile tabia yake ya ulevi kufika kuanguka na kuingiliwa na wahuni.

  Baada ya kupigwa marisasi na kuuliwa, wale jamaa wote waliokuwa wakipeleka mashtaka yao Polisi walikamatwa na kuwekwa kizuizini mpaka Abdulla Saidi Mwamindi ahukumiwe na kunyongwa. Hata kabla ya kesi kumalizika, magazeti na vyombo vyote vya khabari vya Serikali na vya Chama, vyote vilianza shutuma zao, sio tu dhidi ya Mwamindi, bali dhidi ya wakulima wote, huku wakisemwa, "mabepari", "wanyonyaji", "wakoloni" na makhaini".

  Mudhahara uliopangwa na Sirikali ukaingia njiani kupita kuwashutumu na kuwalaani watu hawa. Kwa hali hii ikawa Mwamindi kesha hukumiwa na vibaraka vya Sirikali hata kabla ya kufikishwa mahakamani.

  Mashahidi wote wale ambao wangeliweza kutowa ushahidi japo kuthibitisha juu ya vitendo vya uchokozi vya yule Mkuu wa Mkoa walizuiliwa mpaka pale kesi kumalizika.

  Khatuwa hii ilikusudiwa kumtia khofu yeyote yule aliekuwa na fikra ya kutaka kutowa ushahidi upande wa mshitakiwa.

  Hivi ndivyo sharia inavyo firigiswa katika nchi kama hivi Tanzania wakati ambapo sharia ya kumtia mtu kizuizini bila ya kupelekwa mahakama inatumika.

  Watu kumi na mbili wa Iringa pamoja na yeye Mwamindi mwenyewe walikuwa pamoja na mimi gerezani Dodoma.
  Kamanda wa Polisi Abubakar, na yeye vilevile aliwekwa na sisi siku mbili gerezani akiwa yumo katika pirika za kuhamishwa kutoka gereza hii na kupelekwa gereza jengine.[/FONT]

  [FONT=&amp]Ilani nyingi zilitolewa na kutangazwa ulimwenguni juu ya maafa na mateso katika magereza ya Zanzibar na Pemba.

  Lakini hapana lililosemwa na kuelezwa walimwengu kukhusu mateso yanayowapata wazuiwa katika magereza ya Tanzania bara.

  Sio kuwa uwovu na mateso wanayotendewa wazuiwa magerezani huko Tanzania bara hayajuulikani; mengi yake hayafiki ulimwenguni basi kwa sababu ya kukosekana demokrasia na heshima ya haki za binadamu juu ya haki ya kueleza na kujieleza.

  Kutokana na hali hii, mateso na vitendo vya kikhabithi havielezwi nje kwa walimwengu kukhofia hao watakaoeleza kuadhibiwa na utawala wa kidikteta. Niliona kwa macho yangu nilipokuwa gereza la Mwanza, wakati ambapo Superintendent Odenyo ndie aliekuwa mkuu wa gereza wakati huo; niliona wafungwa walipozuiliwa chakula na maji kwa muda wa siku nne, kisha wakapelekwa hospitali (nusu maiti) na ripoti kuwa (ati) walikuwa wamegoma kula.

  Nilipokuwa Dodoma nilikuwa nikisikia kadhia kama hizo.
  Nikisikia, kwani baina yetu ilikuwa ni kuta, baina ya chumba niliokuwemo na vile vyumba vya mateso.

  Katika gereza la Dodoma aliekuwa katili hivyo ni Ofisa Mkuu, aliepangwa jina "Iron Face" (Uso wa Chuma), kwa vile akijuulika kuwa hajapata kuwa na huruma.

  Mkuu wa magereza hapa, alifika kuwa hajishughulishi tena na kazi yake; hivi ni kwa sababu kwa hichi cheo chake cha juu na daima kuwemo katika vikao na sherehe za kisiyasa, takribani alimuachilia uendeshaji wote wa gereza mikononi mwa msaidizi wake - huyu Ofisa Mkuu. Mabwana wawili hawa waliyafanya maisha ya gerezani hapa hayastahamiliki hata kidogo. [/FONT]

  [FONT=&amp]Ile mikutano ya kawaida ya kila Jumamosi ambapo ofisa mas-uli hutarajiwa asikilize malalamiko ya wafungwa ikawa haifanywi tena.

  Ziara za kila mwezi gerezani za Mahakimu mbalimbali nazo pia zikasita. Wafungwa hutiwa gerezani na kufika kutolewa bila ya kujuwa kuwa wanahaki ya kuwasiliana na watu wao.

  Inafaa ifahamike kuwa hivi kuharibika hali kiwango hichi, sio tu katika gereza la Dodoma. Niliiona hali kama hiyo katika gereza la Mwanza.

  Gereza la Bukoba ilikuwa haijambo pale nilipoondoka.
  Lakini, wakuu wa kisiasa; kama vile Mkuu wa Mkoa na Mawaziri dhahiri shaahir walikuwa wakijiepusha kuyazuru magereza na kujuwa hali za wafungwa na wazuiwa waliomo humo magerezani.

  Ama Raisi na Makamu wa Raisi, si dhani kama iko siku wamewahi kuzuru gereza lolote lile katika Tanzania bara, licha kuzungumza na mabwana au mabibi waliowatia humo magerezani.

  Hali katika gereza la Dodoma ilizidi kufanywa kuwa mbaya kwa ukhabithi wa huyu "Uso wa Chuma" na kulemaa kwa ulevi wa marungi Msaidizi wa Superintendent.[/FONT]

  [FONT=&amp]Mpango ulifanywa kumuuwa "Uso wa Chuma". Mmoja wa wafungwa aliweza kupata kisu na akataka kumpiga nacho huyo "Uso wa Chuma", kwa bahati akaanguka kifudifudi, kichwa chake mbali na yule mfungwa ambae alikuwa na pingu za chuma miguuni mwake na yeye vilevile akaanguka upande wake.

  Wakati huo mfungwa aliweza basi kuipata miguu ya "Uso wa Chuma" na kuanza kumpiga visu vya miguuni mpaka pale ilipowezekana kuzidiwa nguvu akanyang'anywa hicho kisu.

  Hapo tena akaingiliwa mfungwa huyo kupigwa marungu mpaka akawahijiwezi ndipo alipotiwa pingu za mikono. Askari wa gereza akaamrishwa kumpiga marisasi ya miguu.

  Hivyo ikawa kafungwa kila upande na marisasi miguuni mwake, hapo tena akasukumizwa katika chumba cha adhabu.
  Baadae kidogo msaidizi wa superintendent akaja na yeye akaanza kumpiga vile alivyopenda.

  Vilio vyake tukivisikia kutokea katika hicho chumba cha adhabu alimokuwemo na tukamuona askari aliekuwa zamu kwenye kidungu akigeuza uso na kupiga ukelele: "Wanamuuwa huyu mtu!" Binadamu huyu akavurumishwa tena humo chumbani kisha bomu la kutowa machozi likatupwa katika hicho chumba ambacho sehemu yake ya kupitia upepo ni ndogo kabisa. Usiku uleule akajifia.[/FONT]

  [FONT=&amp]Asubuhi yake wafungwa wote wakasimamishwa kwenye uwanja na maiti ikaletwa mbele yao uchi kama alivyozaliwa. Hapo tena msaidizi wa superintendent akawa anamchocha maiti kwa gongo huku akimwambia yule maiti: "Inuka uwaambie wenzio vipi ulivyokuwa hodari, na nini mwisho wa uhodari wako?"

  Baada ya hivyo tena akawahutubia wafungwa kwa kuwaambia kuwa hivihivi ndivyo tutakavyomfanya yeyote yule miongoni mwenu asiposhika adabu yake.
  Hapo tena wafungwa wote wakafungiwa vyumbani mwao kisha mabomu ya kutowa machozi yakatupwa humo vyumbani mwao.

  Haya yalifanywa kwa makusudio ya kuwataka watajane wale waliokhusika na mpango huu. Haukupita muda isipokuwa wengi wakatajana na kukiri makosa yao.

  Lakini adhabu na mateso yaliendelea kwa wiki kadhaa wa kadhaa. Chakula kikapunguzwa, hata kwetu sisi wazuiwa. Kila mtu alitaraji mauwaji haya yatafanyiwa uchunguzi na hukumu ya haki kupitishwa. Askari wa gereza ikawa wanasema hadharani kuwa ukifanywa uchunguzi watawaambia askari Polisi hakika ya mambo ilivyo. Lakini hapana lilokuwa.

  Tulisikia katika redio, kama maneno ya kupita tu yaliosemwa Bungeni - kwa woga - na mmoja wa Wabunge kuwa kulikuwa na askari makhabithi walio waadhibisha wafungwa mpaka kufika kuwauwa.

  Kubwa lililotokea ni uhamisho wa kawaida wa maofisa wa magereza wa vyeo vya juu kutoka magereza mbali mbali nchini. Khabari ikamalizikia hapo.

  Katika nchi yenye sheria ya kutiwa watu vizuizini bila ya kupelekwa mahakamani, kelele zozote zile ni sawa na mbwa mwenye kubweka hazina athari yoyote ile, na sharia basi ni kwa kumtumikia bwana mtawala aendelee katika utawala wake na atende vile anavyopenda.[/FONT]
   
Loading...