Zanzibar kuvuliwa uanachama wa CAF hii imekaaje kisiasa?

UPO SAHII KABISA, KWA AFYA YA MUUNGANO WETU INABIDI MAMBO MENGI YANAYOTUWAKILISHA KAMA TAIFA NA MATAIFA MENGINE YAWE YA MUUNGANO, Kwasasa ni kawaida mzanzibar kujisikia fahari kujitambulisha ametoka zanziba na si tanzania tunapokuwa wote nje, najiuliza hivi kwanini na mimi nisitumia tanganyika?

Na kwanini hutumii Tanganyika?
 
..walichomtendea Ally Saleh siyo haki.

..kuweka mambo sawa kuwe na chama cha mpira Znz na chama cha mpira Tgk.

..juu ya vyama hivyo kuwe na chama cha mpira cha Tanzania.

..lakini siyo haki kwa Watgk kuhodhi chama cha mpira kwa kujifanya wao ndio Tanzania.

Na hapo ndipo kwenye tatizo kuu kabisa, Tanganyika wamejivika Tanzania na kujimilikisha wao. sijui watu wanajifanya kama hawayaoni wanaleta ushabiki
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom