Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,014
- 1,498
Na hakuna vijiji, ukitoka mjini unaingia mashambani!. It's Zanzibar taratibu.Mmenifugua akili. Hivi kumbe Zanzibar kuna maeneo ya shamba? Siku zote nilijua Zanzibar ni town tupu!
Na hakuna vijiji, ukitoka mjini unaingia mashambani!. It's Zanzibar taratibu.Mmenifugua akili. Hivi kumbe Zanzibar kuna maeneo ya shamba? Siku zote nilijua Zanzibar ni town tupu!
Nani kakudanganya? Kuna hotel nzuri tu tena za bei nafuu. Kama hujui inasisitizwa ukifika mji usioujua waulize wenyeji. Angalia hapa hotel zilizopo Zanzibar town na gharama zakeHoteli za wenye za matajiri..sio wote matajiri..lodge muhimu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uzushi na uongo! Muda mwingine unajiskia aibu lakini unajifanya mkavu wa kuongea, hivi Zanzibar wanaamini ushirikina kuliko Bara?Tatizo wanapenda kufuga majini kila nyumba kuna fugwa jini, kingine wanahamin Sana ushirikina utakuta Mume hajaonekana nyumban siku mbili mke anaenda Kwa mganga ili amsaidie, baadala aende kutoa taarifa polisi na kwenda hospital kumtafuta , chakushangaza wanaenda kwa waganga.
Hawa wengi wanaoongea hivi unakuta labda mtaa aliofikia ndio yupo hapo, hivyo hajapata kuzunguka na kujionea maeneo mengine, au kasimuliwa na yeye amekuja kuandika.Watu hawaelewi Zanzibar mji wa kihistoria. Kuna maeneo inabidi yabaki vile vile yalivyo kuendelea kuwa vivutio vya utalii.
Aende Melia, Lagema, Kendwa, Mnemba, arudi Chukwani, Mbweni Kisauni tuone kama hajabadili thread au kuifuta kabisa.
Zanzibar inategemea unataka kitu gani.
Sasa hilo ni swala la serikali, kwa minajili hiyo asiwajadili wakaazi maana wao hawahusiki na ujenzi wa miundo mbinu. Ningemsapoti kwa 100%kama kichwa cha mada yake kingehusisha viongozi tu na sio wakaazi, lakini maelezo yake mengi yanabase kwa wakaazi.Mleta mada anamaanisha miundombinu inayoletwa na serekali mfano barabara
Kama ile barabara pale darajani ya enzi na enzi
Mfano kutoka shangani Hadi airport hiyo barabara yaaje mkuu
Alafu zile paka kule Stone Town nyingi kushinda mchanga
Hawa wengi wanaoongea hivi unakuta labda mtaa aliofikia ndio yupo hapo, hivyo hajapata kuzunguka na kujionea maeneo mengine, au kasimuliwa na yeye amekuja kuandika.
Hawa ni wale jamii ya watu wanaotoa mtazamo wao kwa kupitia masimulizi au kwa kuona kwa macho, kwanza haiwezekani kuizunguka Zanzibar kwa siku moja, kama utakwenda Nungwi haiwezekani na kwenda Makunduchi kwa siku hiyo. Ninachokiona wengi wamesimuliwa hawajafika kujionea wenyewe, hivi chief umeshawahi kufika Kiwengwa?Inashangaza mtu anaenda Unguja siku moja kisha anasema Zanzibar ndogo, nimetembea siku moja tu nikaimaliza...
Unamuuliza, umeenda Kizimkazi kuona Dolphins? Umeenda Paje? Jambiani? Nungwi? Anakwambia hajafika, unamuuliza sasa umeenda Zanzibar gani?
Hawa ni wale jamii ya watu wanaotoa mtazamo wao kwa kupitia masimulizi au kwa kuona kwa macho, kwanza haiwezekani kuizunguka Zanzibar kwa siku moja, kama utakwenda Nungwi haiwezekani na kwenda Makunduchi kwa siku hiyo. Ninachokiona wengi wamesimuliwa hawajafika kujionea wenyewe, hivi chief umeshawahi kufika Kiwengwa?
Ngoja tumpe muda labda akizunguka zunguka kidogo ataona utofauti wake.Huyo ni yule ameishia Stone Town tu. Pia wanasahau kwamba ule mji uko chini ya uangalizi wa UNESCO, hauwezi hata kuchimba msingi au kutoboa ukuta bila kuwahusisha mamlaka husika, mji uko vile ili kuhifadhi ukale wake. Na hiyo ndio inaufanya uwe kivutio kwa watalii.
hajazungumzia change of scene.kazungumzia services.ni muhim kwa mamlaka za mjiUnaweza kwenda England ukawaona washamba sababu wana nyumba za kizamani na matofali ya kuchoma.., kumbe wanahifadhi asilia yao (Victorian era)...
Sasa miji yote ikifanana kama New York watu tutashindwa kupata a Change of Scene....
Kimgawanyo, kuna eneo la mjini ambalo lipo katiko mkoa wa Mjini Magharibi na ni wilaya ya Mjini, maeneo ya shamba ni Mkoa wa Kaskazini na Mkoa wa Kusini.
hajazungumzia change of scene.kazungumzia services.ni muhim kwa mamlaka za mji
mji wa kitalii uwe na usafi wa hali ya juu.pale darajan na mji mkongwe pawe mantai ned kwa lami nzuri zile chemba za choo ziwe clear maji yaende baharin
huwa nashangaa kusikia haruf wakat bomba za baharin zipo
mji mkongwe nyumba zikarabatiwe na elimu na hamasa itolewe kwa.wingi kwa watu kuuza huduma za kitalii za kwa wandan na nje
kwa kuanzia vyakula vya asili ka mihogo kuchemsha na supu za pweza zile baga sio natural wanazitia mafuta meng na jam ile ya chokolet
yote tisa msosi zanzibar kiukweli mbaya sijapata ona afadhali kidogo pale sijui panaitwa lukumai.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Very True, ndio maana wanalindana sana wanafanya ubadhirifu halafu wanaachiana tu. Fikiria CAG katoa ripoti ya ufisadi, Mwakilishi wa CCM anasema CAG hana mamlaka kwa vile hajachaguliwa kisheria. Bullshit
Huu ni Ukweli mtupuu sijui kwanini ukiwauliza watakwambia dini ila waarabu wenyewe sasa wenye dini yao wanakula Bata balaa sasa hapo nashindwaga kuelewa kabisa..Siyo hawapend kujionyesha tatitizo hawajielewi, ndiyo maana huwezi kumtofautisha mkuu wa mkoa, katibu mkuu wa wizara na wauza nazi sokoni, mkurugenzi wa Zec Zanzibar ana panda boti ya elfu 25000, kwenda kwenye kikao, Una zani mkurugenzi wa NEC utampandisha boat ya elfu 25000 kwenda kwenye kikao Zanzibar, kwa kifupi wa Zanzibar hawajui kutumia hela
Hukuulizia bei au kusoma MENU?pale forodhani nikula mishikaki miwili ya samaki na maji ya matunda bili ikaja elfu 68 yaani wizi mtupu
Nimetembelea huu mji, kwa kweli ni mji ambao bado watu wamelala, migahawa ya kumulika kwa tochi vyakula havieleweki, nimeenda hadi forodhani yaani nyama za pale bei juu alafu hazina mvuto yaani rafu rafu tu.
Barabara za lami kama wamemwaga zege yaani, mainjinia sijui wameajiriwa kwa kazi gani, nimehisi nimerudi Dar es Salaam ya mwaka 2000 or ndio mji wa kitalii labda.
Labda nipewe chimbo huenda nimeenda sehemu sio lakini kwaweli ni majanga sana hapa.
Enzi zile tulikuwa kwenye uchumi wa kijani.Uchumi wa Blue my foot, Mwinyi tayari ni failure. CCM wote ni wale wale
Kama ulijifanya hujui kibongo au unaongea lugha ya malkia iliyoshiba hiyo bei halali yako, maana wanawatafuta sana watu kama wewe.pale forodhani nikula mishikaki miwili ya samaki na maji ya matunda bili ikaja elfu 68 yaani wizi mtupu