ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 19,669
- 28,094
Ww ndezi tu mkibaki wenyewe utabaini kuna Pemba na Unguja ...Tunaposema Wazanzibari Hatutaki Muungano mutuelewe Watanganyika.
Ww ndezi tu mkibaki wenyewe utabaini kuna Pemba na Unguja ...Tunaposema Wazanzibari Hatutaki Muungano mutuelewe Watanganyika.
Lakin mbona hii Wales na England zoteNakujibu kwa swali, hapa duniani kuna nchi inaitwa Wales.?
Na mm ndo nawashangaa wanaosema Zanzibar sio nchiLakin mbona hii Wales na England zote
Znatambulika na FIFA hata uefa
Yn mwenyewe ht cjui tatizo liko wapi, ila nadhani tatizo linaanzia TFF au serikali ya TanganyikaKaandika vizuri sana lakini bado. Mfano Kosovo ni jimbo la Serbia na Serbia ni mwanachama wa fifa, mbona imepewa uanachama juzi juzi? Hong Kong nayo ni nchi?
Bado sijaona kigezo cha zbar kunyimwa huu uanachama eti kisa ipo Tanzania
Kosovo ni taifa bro linatambulika walishamaliza migogoro na Serbia.Kaandika vizuri sana lakini bado. Mfano Kosovo ni jimbo la Serbia na Serbia ni mwanachama wa fifa, mbona imepewa uanachama juzi juzi? Hong Kong nayo ni nchi?
Bado sijaona kigezo cha zbar kunyimwa huu uanachama eti kisa ipo Tanzania
Kosovo ni taifa bro linatambulika walishamaliza migogoro na Serbia.
Sema Wales, Scotland, Northern Ireland, Israel, Palestine, Hong Kong, Puerto Rico, Macau, Faroe Islands na Gibraltar.
Nimeipenda sana hii... Shukran mkuuNgoja nikate mzizi wa fitna hapa
wales, schotland , Nothern Ireland, na England wote wako recognized na Fifa kwa kile kinachoitwa Historical membership.. yaan kihistoria vyama vya soka dunian vilianzishwa huko na mpira ndo ulikoanzia...ndo maana kwenye Fifa hamna UK, maana UK ni mjumuiko wa hayo mataifa..
Faroe Island.. wako chini ya demark kiutawala ila
wako Fifa sababu Dermak wamewaruhusu.. maana Fifa inataka kama kuna chama cha soka cha eneo au kitongoj flan kinataka kuwa mwanachama wa Fifa basi ni lazima kipate kibal kutoka chama cha taifa linalotawala hicho kitongoji so Denmark waliwaruhusu Faroe island kuomba uwakilish wao FIfa sababu waliona hawawez kupata nafasi team ya taifa Denrmak maana walizidiwa kwa idad ya watu sana tu.
same kwa case ya HongoKongo na Macau ambapp China imewa endorsed Fifa ndo maana nyimbo za taifa zinapigwa za China na sio Hongokong wala Macau sababu zinakulikana kama Administrative china regionals
kwa case palestina , wao pamoja na kuwa hawatambuliki UN, ila its an independent sovereignty.. maana yake hakuna taifa lililoclaim kuwatawala wao wanajitawala....kumbuka israel haisemi palestina ni watu wake bali inasema ardhi ya palestina ni yao palestinians wamevamia tu ndo maana Fifa imewapa uanachama 1998 sababu wanajitawala kwa kila kitu
Zanzibar anatakiwa afanye kama Faroe island
Zenji waombe tz bara wawa endorsed kwenye maombi yao pale fifa.. je TFF watakubali?
naona umewaweka israel .. israel inatambulika UN toka 1949