Zanzibar kunyimwa uanachama wa FIFA na CAF ni chuki kisiasa au kukosa vigezo?

Mr kiuno

JF-Expert Member
Jul 18, 2017
808
1,000
Piga simu Tigo kwenda mitandao yote kwa miaka 3 yaan free call njoo pm nikuunge

Malipo baada ya kazi
 
Ezekiel Mbaga

JF-Expert Member
May 28, 2018
9,382
2,000
Kaandika vizuri sana lakini bado. Mfano Kosovo ni jimbo la Serbia na Serbia ni mwanachama wa fifa, mbona imepewa uanachama juzi juzi? Hong Kong nayo ni nchi?

Bado sijaona kigezo cha zbar kunyimwa huu uanachama eti kisa ipo Tanzania
Yn mwenyewe ht cjui tatizo liko wapi, ila nadhani tatizo linaanzia TFF au serikali ya Tanganyika
 
isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
3,919
2,000
Kaandika vizuri sana lakini bado. Mfano Kosovo ni jimbo la Serbia na Serbia ni mwanachama wa fifa, mbona imepewa uanachama juzi juzi? Hong Kong nayo ni nchi?

Bado sijaona kigezo cha zbar kunyimwa huu uanachama eti kisa ipo Tanzania
Kosovo ni taifa bro linatambulika walishamaliza migogoro na Serbia.

Sema Wales, Scotland, Northern Ireland, Israel, Palestine, Hong Kong, Puerto Rico, Macau, Faroe Islands na Gibraltar.
 
Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,251
2,000
Naamini chini ya Samia mambo haya lazma yamalizwe
1. Katiba mpya
2. Kero zote za Zbar zitatatuliwa
3. ZFA kupata uanachama kamili wa kimataifa.

Akitika bila kushuhulikia haya ndio badi tena.
 
Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
852
1,000
Kosovo ni taifa bro linatambulika walishamaliza migogoro na Serbia.

Sema Wales, Scotland, Northern Ireland, Israel, Palestine, Hong Kong, Puerto Rico, Macau, Faroe Islands na Gibraltar.

Ngoja nikate mzizi wa fitna hapa

wales, schotland , Nothern Ireland, na England wote wako recognized na Fifa kwa kile kinachoitwa Historical membership.. yaan kihistoria vyama vya soka dunian vilianzishwa huko na mpira ndo ulikoanzia...ndo maana kwenye Fifa hamna UK, maana UK ni mjumuiko wa hayo mataifa..

Faroe Island.. wako chini ya demark kiutawala ila
wako Fifa sababu Dermak wamewaruhusu.. maana Fifa inataka kama kuna chama cha soka cha eneo au kitongoj flan kinataka kuwa mwanachama wa Fifa basi ni lazima kipate kibal kutoka chama cha taifa linalotawala hicho kitongoji so Denmark waliwaruhusu Faroe island kuomba uwakilish wao FIfa sababu waliona hawawez kupata nafasi team ya taifa Denrmak maana walizidiwa kwa idad ya watu sana tu.

same kwa case ya HongoKongo na Macau ambapp China imewa endorsed Fifa ndo maana nyimbo za taifa zinapigwa za China na sio Hongokong wala Macau sababu zinakulikana kama Administrative china regionals

kwa case palestina , wao pamoja na kuwa hawatambuliki UN, ila its an independent sovereignty.. maana yake hakuna taifa lililoclaim kuwatawala wao wanajitawala....kumbuka israel haisemi palestina ni watu wake bali inasema ardhi ya palestina ni yao palestinians wamevamia tu ndo maana Fifa imewapa uanachama 1998 sababu wanajitawala kwa kila kitu

Zanzibar anatakiwa afanye kama Faroe island

Zenji waombe tz bara wawa endorsed kwenye maombi yao pale fifa.. je TFF watakubali?

naona umewaweka israel .. israel inatambulika UN toka 1949
 
Nimeipenda sana hii... Shukran mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom