Zanzibar Kumenoga - Serikali Kugharimia Ujenzi wa Hoteli zilizoungua Moto

chilubi

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,070
2,000
Nafikiri hamjaelewa habari vizuri. Serikali itatoa ushirikiano tu, ukarabati kila mmoja atafanya kivyake. Serikali haiwezi kugharamia ujenzi wa hoteli. Ushirikiano wao ni kama vile kuwasamehe kodi kwa mda fulani tu ili wapate ku recover.

Niliwahi fanya kazi na mmiliki wa moja kati ya hizo (alohojiwa mwisho) kwa nnavomjua jamaa, usishangae akasimamisha hotel upya within a period of one month. Anajua umuhimu wa biashara yake, tena jamaa huwa anaingia mzigoni mwenyewe, ukimkuta ukaambiwa bosi huamini, yaani kumkuta kajitwika kipolo cha saruji juu ni kawaida usishangae, Anajituma sana, staff wake wote wana direct access nae.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom