Zanzibar kumekucha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar kumekucha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yo Yo, Nov 16, 2008.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Nov 16, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Zenji kumekucha siku hizi hakuna ushungi ni vitop na jeans za kubana.Wazenji bado wanasema kuwa wabara ndio wanaoiaribu kwa kutokuwa na maadili wakati mwingine wanasema kuwa hata wale kaka poa sio wazenji ni wabara.

  Hodi hodi visiwani!
   

  Attached Files:

  • 12.JPG
   12.JPG
   File size:
   51.1 KB
   Views:
   258
  Last edited: Nov 17, 2008
 2. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #2
  Nov 16, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Siku za mwisho kila uovu utajidhihirisha na madhara yake ili mtu akichagua kuishi aishivyo asije laumu.
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Nov 16, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  waulaumu utandawazi, si wabara
   
 4. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #4
  Nov 16, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Vyote anyway ni mapokezi. Hata baibui waliiga kama wanavyoiga vitopu hivi sasa. It was not their culture. MAY be its time that can tell!!

  Bold If you think outside the box they are both culture inconsistence and a result of COPY or CUT and paste kind of. No one then is right to discuss any other part unless we devise our dressing codes or likewise revert to our traditional dressing codes. Leave arabic, indian and american dressing codes. THIS is how I see the issue but in contrary we need to ware casual and not express nudity or etc.
   
  Last edited: Nov 16, 2008
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Nov 16, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Wazanzibari waliaribika siku nyingi tu si leo wala haliwahusu wazanzibara.
  Mimi nilitembelea huko miaka ya nyuma lakini nilichokiona si kile nilichotegemea.
  madada wengi sana wamevaa ushungi lakini nyumba za kulala wamejaa wao wakizinikama kazi:(
  Unga ulikuwa ukiliwa kama wanakula ngao tu.
  Watuzingizie wazanzibara bwana!
   
 6. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Zanzibarians mpo?
   
 7. M

  Mama JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Hiyo picha haionekani.
   
 8. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2008
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Waswahili husema asifiae mvuwa imemneshea Jee wamesha kutenda wazenji ??kawaida zanzibar hata simba hunywesha chai na ukali wake alionao
   
 9. Mbogela

  Mbogela JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2008
  Joined: Jan 28, 2008
  Messages: 1,369
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  MaxShinba naona umetoka nje ya mstali kaka, Uchangiaji wako ni ule wa kuchochea chuki kwani umejaa maneno ya uchokozi na kejeli dhidi ya dini ya kiislamu. Nigeshauri uwi-thdraw mchango wako. Hata hivyo Up nje ya Topic, kwani hoja hapa ni wadada wa zenji na Vitop, sasa hili la waislam na Mtume Mohamad linatoka wapi hapa? na Mbaya zaidi unavyomsema huyo mtume na wafuasi wake. Pls, tukitaka mapinduzi ya kweli kwenye jamii zatu ya kiasiasa na kijamii, turekebishane tukiwa wamoja.
   
 10. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2008
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Ngoma ya sumsumia nayo ilitoka bara?
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Shikamoo Mama,
  Sasa inaonekana vizuri.
   
 12. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2008
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Unauliza nini? Hebu angalia na ya kwenu kwanza. Iwe Mkoa wowote ule unaotoka basi hivyo vitop viko mara zaidi ya hamsini kuliko vilivyoko Zenj.
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Sisi bara wanavaa sana na tunakubaliana na tunapenda wakivaa,nyie tatizo mnasema sio wazazibari wanaovaa hivyo na tabia za kiasherati ati bi wabara ndio wanaokuja huko na tabia hizo.Hiyo picha ni tamasha la fiesta lilifungwa zenji na hao babies akina Mwanakombo,Fatma na wenzake ni wazenji full kujiachia.No shungizi wala nini.
   
 14. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2008
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha hayo ndio yanayopigwa vita inakuwaje wakiristu hawafiki hata 100 kukajengwa kanisa kila mtaa ,kama si kueneza mila ni kitu gani ? Na wenzetu wakifanya sherehe zao bia huwa bure hunywa wakaimba mpaka wakaanguka hizo sio mila za Zanzibar lakini mbinu na mikakati ni kutoka bara ,watoto wadogo wasio jua kitu ndio hufuata mkumbo na mwisho kuangukia huko ,na ndio inavyoonyesha hiyo picha hakuna jitu zima hapo !
  Ila kwa upande wangu naona haya sio makosa yao bali ni sera za CCM ndizo zilizo wafikisha hapo na si hapo Zenji hata huko Tanganyika mambo ndio yamevuka mipaka wala hayasemeki ,ikiwa Tanganyika hivi sasa wamefika kuuza masikio ya binadamu ili waukwae utajiri huoni kama maendeleo yao yamefika mbali.
  Ila mambo hayo ya Zanzibar yatakaa sawa siku moja tu wala hakuna mjadala juu ya hilo,si mnakumbuka Karume alipopiga marufuku kuvaa nguo tight na mabuga luu ,mbona watu walikaa sawa kila mmoja alikuwa na adabu zake,ila huu utawala wa CCM tunaokwenda nao haujali maisha mila wala ustaarabu wa mtu wanajali maslahi , sasa mkienda bula ya nguo mtakalo fanya wao haliwashugulishi sana ndivyo watakavyo kwani kila mkipotea inakuwa urahisi kwao kuiba mali ya uma. Hizo suruwali za geans ndio security siku hizi maana wabakaji kutoka bara wamehamia Unguja ,sasa kuikwapuwa jeans ili upate kufanya haja zako ,dogo utanyuri hata kabla ya mafanikio.
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Naona unaishiwa sasa..
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2008
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280

  Yoyo,
  Yule wa tatu kutoka kushoto aliyekaa una mawasiliano naye? Walahi hata Ng'ombe 40 ntatoa maana sie Wanyamwezi, mtoto anavyozidi kuwa mweupe mweupe basi ndiyo tunavyozidi kutoa Ming'ombe. Changamkia tenda Yoyo maana na wewe ntakupa hapo kifuta jasho. Najua kuwa information zina cost.
  Ngoja nitafute nauli na mie niende huko Zenji kabla Zanzibar haijawa nchi na watupige marufuku Wanyamwezi tusiingie huko. Hawa wote Zenji ikiingia OIC tuwatumie mialiko wahamie bara. Yoyo, sema kabisa anga zako ili tusiingiliane. Kama ni huyo wa watu basi ntabadili na dini nichukue wa kwanza.
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Nov 17, 2008
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160


  :eek:

  ...'tuk-tuk-tuk!' the kid is just 15yrs old, have some mercy man!
   
 18. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #18
  Nov 17, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kule Nungwi wangefanya maandamano.....kama kawaida yao
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Nov 17, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nyamaza wee mpemba...........
   
 20. Black Jesus

  Black Jesus JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2008
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 254
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  YO YO inaonesha umekuwa na issue na sio wazenji kwani wao siku zote huwa hawatufuatilii nini tuna fanya huku bara isipokuwa huwa wanakema pale tunapopeleka utamaduni na matendo ambayo kwao hawapendezewi kuwanayo katika jamii zao ongelea mambo yakobinafsi wao tayari zanzniabr ndio yao tukitaka tusitake wache waishi maisha wanayopendezewa kama vile hapa Bara tuna maisha ya kila aina lakini huwasikii wazenji wa hanao ishi hapa bara kulaumu kwa nini sisi wabara tunaoishi au kufanya kazi tumejenga hisia ya choyo cha kibinafsi katika nyoyo zetu kila wao wanautamaduni wao kama vile walivyo na utamaduni watu wa mkabila yote hapa bara
   
Loading...