TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Watu wa Zanzibar wamekuwa na Malalamiko tangu kuwepo na Muungano wa Kimizegwe wa April 26 1964. Na hakuna ubishi tena kuwa Kuna Kulazimishia Muungano ambao hautakiwi na Walio wengi Zanzibar.
Ili Kumaliza Mzizi wa Fitina Kufanyike Referendum kama ile ya Ireland ya 2013, Ili kama kweli CCM na Genge la Wang'ang'anizi wa Madaraka wanaamini hii dhana ni ya Uwongo? Basi watapata fursa ya Kutuaibisha, na Kutunyamazisha Kabisa watu tunaoamini Muungano huu kama ulivyo, hauna tena Baraka za Raia walio wengi Zanzibar.
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar usiwe wa Lazima wala wa Kushurutishia. Kwa sasa umekuwa ni ibada ya Sanamu ya CCM, Ni hirizi isiyo na malelezo ya Maana zaidi ya Porojo, wakati wa Vita baridi Ningeamini Muungano Ungeweza Kuwa na Sababu ya Maana.
Don't get Me wrong Muungano wa nchi au wa watu ni jambo jema sana. Ningeweza Kuifanya Africa yote Iungane leo, ningefanya hivyo haraka sana! Lakini sio Muungano za Kihuni na Kulazimishana. Muungano wa kulazimisha, Ni kama Ndoa za Wachagga zamani zile za kumteka msichana na Kumfungia Ndani.(Usinibishie Nimekulia Uchagani tabia hizi zilianza kuisha 1980s)
Sasa Ni Muda Muafaka, Zanzibar kufanyike Kura ya Maoni Referundum Kama iliyofanywa na Ireland Kuona Kama bado wanataka Muungano, Na kura sisimamiwe na Kuhesabiwa na United Nations. Wengi wakiukataa basi Tuwaachie Nchi yao.