mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
Kila kitu kinaweza kuwa sahihi kwa yule anayekitaka ila kila kitu kina kikao na sahihi kwa kufuata taratibu na sheriaSasa kulinda kura kosa? Kuingia barabarani kosa? Kueleweka jambo ni kosa? kama ni makosa basi kwenye katiba yapo, labda utuoneshe wapi imesema ivo? Kwanini aseme atalinda amani tu lakini asilinde haki?
Wazanzibari tunataka tugawane fito, Mzee Karume alitwambia Koti likikubana ulivue tu.