Zanzibar: Jengo laanguka na kuuwa mmoja na Mama na mtoto wahofiwa kufukiwa na kifusi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410


MJI MKONGWE ZANZIBAR: Mtu mmoja amefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya jengo la gholofa 3 kuanguka wakati likifanyiwa ukarabati.

Aidha Mama mmoja na mtoto wake wanahofiwa kufukiwa na kifusi cha jengo hilo.

Chanzo: ITV
 
Kuna mtu ajiandae kutumbuliwa hapo....

Au Shein hanaga mambo za Bwana Mkubwa za kutumbua papo kwa papo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom