Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,326
Wakuu katika kukabiliana na tatizo la corona, zanzibar imeonyesha maturity na level nzuri ya kiuongozi kuliko Tanzania.
Kwanza imelua ikitoa taarifa mara kwa mara na haijaleta maneno kama ilivyo kwa Tanzania.
Katila batch 1 na batcha 2 za mpunga wa IMF Tanzania haimo wakati Rwanda,Kenya na uganda tayari zimelamba mpunga wao.
Kwa africa mashariki Tanzania haijapata sawa na nchi nyingine za kidictator kama Burundi na sudan kusini
Swali langu, kwa kuwa zanzibar inaonekana kuzibiwa kupata mpunga na Tanzania, Je kuna uwezekano zanzibar ikaomba kama nchi na ikapata bila kuingiliwa na Tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app