Zanzibar inataka kuchagua wabunge wa EALA kama nchi.

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
14,979
2,000
Zanzibar ni nchi hivyo inayo haki ya kuchagua waakilishi wake bunge la Afrika mashariki.Zanzibar shall not die.

====

Zanzibar is seeking amendments to the East African Community Treaty to allow it to choose its representatives to the regional assembly.

Speaker of the Zanzibar House of Representatives Zubeir Ali Maulid said this week that the time had come for the Isles to elect their own members to the East African Legislative Assembly (Eala).

Each partner state is allowed to nominate nine members and Tanzania’s national parliament in Dodoma decides the nine representatives who represent the Union — Tanzania Mainland and Zanzibar.

On Tuesday, while addressing the regional assembly sitting in Zanzibar, Mr Zubeir called for a review of Article 50 of the Treaty establishing the East African Community.

“We reiterate that Article 50 of the East African Community Treaty be revised to allow the Zanzibar legislature to elect members of the assembly from Zanzibar,” he said.

The article states that: “The National Assembly of each partner state shall elect, not from among its members, nine members of the Assembly, who shall represent as much as it is feasible, the various political parties represented in the National Assembly, shades of opinion, gender and other special interest groups in that partner state, in accordance with such procedures as the National Assembly of each partner state may determine.”

His sentiments were echoed by Maryam Ussi, an EALA member from Tanzania, who said that Zanzibar should send nine representatives to Eala “because it is a country: It has its own economic issues and its own political issues, which are slightly different from those of the Mainland.”

Ms Ussi said that Zanzibar’s issues were not being fully addressed in the regional assembly. “We cover all Tanzania’s interests in Eala, but Zanzibar will benefit more if we send nine members from there,” she said.

Zanzibar is a semi-autonomous territory in political union with Tanzania. It consists of the island of Zanzibar or Unjuga, Pemba and smaller neighbouring islands.

In April, Tanzania will be commemorating 55 years of the Union of Tanganyika and the offshore island nation of Zanzibar.

Anti-corruption law
Meanwhile, Eala will introduce an anti-corruption law — East African Community Integrity and Anti-Corruption Act — for EAC institutions and organs.

This decision comes after an audit report last October revealed irregularities in the recruitment and awarding of short-term contracts in the Community that contravened staff rules and regulations and the EAC treaty.

Victor Burikukiye, an Eala member from Burundi, noted that the Community was increasingly facing allegations of corruption and therefore urgent, decisive and punitive action has to be taken to deal with it.

Currently, the only framework that exists is the EAC Staff Rules and Regulations and the EAC Anti-Corruption Policy of 2006, which do not comprehensively provide for deterrent sanctions.

Zanzibar wants to name its own EALA members
 

dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,489
2,000
Zanzibar ina sifa hizi:-
 • ni pande la dunia lenye mchanganyiko ardhi, maji, na anga na ambalo mipaka yake inaeleweka.
 • ina watu, desturi, na utamaduni wake
 • ina Katiba yake
 • ina rais, serikali, bunge, na mahakama
 • ina wimbo wake wa taifa na tunu nyinginezo
 • n.k.
 

chabuso

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
6,135
2,000
Zanzibar ina sifa hizi:-
 • ni pande la dunia lenye mchanganyiko ardhi, maji, na anga na ambalo mipaka yake inaeleweka.
 • ina watu, desturi, na utamaduni wake
 • ina Katiba yake
 • ina rais, serikali, bunge, na mahakama
 • ina wimbo wake wa taifa na tunu nyinginezo
 • n.k.
Wazanzibari Wapumbavu, wa zanzibar hasa walioko madarakani yaani CCM Zanzibar ni aina ya Watu ambao hawana "self esteem", hawajiamini, hawajitambui, wamekaa na kasumba za "Mwarabu atarudi"..

Historia ya Zanzibar haina tafauti na historia ya nchi kama Marekani, Canada, Autralia nk, Hizi nchi nilizozitaja ni nchi za Wahamiaji, Wahamiaji wamejenga hizo nchi na wamejikubalisha kuwa wao wanatoa katika hizo nchi, wameachana na kujitambutambulisha kuwa wao watoka katika nchi za mababu na mabibi zao, wanajitambulisha kuwa wao wanatoka pale walipo, ndio maana wanaitwa Wa Marekani hawaitwi Wairish au Waingereza..

Pale Wazanzibari watakapo jitambua na kutambua kuwa Mungu amewaleta Wazaramo, Wadigo, Wasegeju, Wamanyema, Wanyamwezi, Wandengereko, Wayao, Wangazija, Warabu, Wahindi, Wapashia nk, pale Zanzibar ili waunde Taifa lao liitwalo Zanzibar, lenye kabila liitwalo Wazanzibari au Waswahili wawe na Utamaduni wao, Lugha yao nk, Wazanzibari Watakapo kubali kuwa Mungu kawapa uwezo wa kuamua mambo yao bila ya kuingiliwa kimawazo na fikra hapo ndipo Zanzibar itakuwa nchi..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom