Mogambi
JF-Expert Member
- May 25, 2012
- 209
- 351
Ktk moja ya paper juu ya women sexuality and islam, huko uarabuni, mtafiti mwandishi mmoja aliandika kwamba mahusiano ya kishoga na kinyume na maumbile miongoni mwa waarab hao yanayoshamiri kila uchao,yanahusishwa na iman yao kwamba wanawake na au uke ni najisi kwa sababu ya hedhi na hivyo wanaamin kuwa kinyume cha maumbile huwaweka safi. Na kwa wingi wao, hao ndo wanaichafua dunia kwa usodoma, waarab na wamarekan mrengo wa kishetan. Ni muhimu tuiepuke dhambi hiyo kwa usalama wetu kwa kujitenga nao. Imeandikwa ondokeni kati yao mkatengwe nao. Nuru na giza haviwezi kukaa pamoja. Wamelaaniwa wote wanaofanya ushetani huo. Anglican na sheria zao za kishoga(wahusika tu wa ushoga) wao pia ni mamluki tu kwani ukristo wa kweli unapinga ushoga bila mjadala-wamelaniwa. Ushoga ni dhambi pekee iliyopelekea Mungu kuangamiza binadam kwa moto. ACHA KABISA NA TAFUTENI TOBA YA KWELI.