Zanzibar inaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya MASHOGA wenye Ukimwi

Status
Not open for further replies.
Mwanasheria mkuu wa Z'bar amesema watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja visiwani hapa hawawezi kutiwa hatiani bila ya kuwapo kwa ushahidi dhidi yao................................ Chanzo: nipashe.

Kazi ipo mwaka huu
 
Swali:

Takriban 99% ya Wazanzibari ni Waislam, if I am correct, correct me if I am wrong. Ingawa ni asilimia kubwa namna hiyo, Zenji inaongoza kwa mashoga, kwanini? Je, ushoga unafumbiwa macho na islam?

Ajabu kweli haya mambo!!! ya kwetu yatushinda, tunavalia njuga ya wenzetu!! Kwanini tusihitimishe haya ya ufisadi, ukosefu wa umeme, ajali za kila siku, rushwa kila eneo; ukosefu wa uwajibikaji na up uuzi mwingine mwingi!!! By da way, wapi hakuna ushoga tz ya leo? Hakuna mantiki kusema kwamba Zenji inaongoza kwa ushoga; kwani ushoga ni ushoga tu hata kama huku bara kuna mashoga wachache bado ni mashoga tu! Nenda pale Kaumba 9T park Morogoro kama hjujakutana na mashoga!! wht abt Tanga, na mitaa kadhaa ya hapa dar? huko nako ni znz? au unataka kusema wanaoliwa tigo huko ni wa-zenji? mmesahau ile issue ya yeroo ambae aliliwa tigo na muitaliano kule?! Dada ze2 siku hizi; kuanzia wa pwani ya TZ bara hadi kule bara kabisa wanatoa tigo! sasa ya nini kujitia upofu ktk ye2 na kutaka kushabikia ya wenzetu!!!??? na wale waliokuwa TNGP wakililia haki za kutambukliwa kwenye katiba mpya ni wa-zenji wale? na wht abt wale wanaokata kata mauno pale Traventine kila uchao? ni wa-zenji peke yao?! Boarding za boyz huku bara ni full ulawiti; kuna wa-zenji kule?! Tumkumbuke Jesus aliyesema "ya nini kutaka kutoa kibanzi kilicho kwenye jicho la mwenzako wakati lako lina boriti!!!! N
 
<br />
<br />
UNAWABWA MSALABANI

Unajua hizi tawala za kidini wazungu walishazijaribu long time wakaona ni ndoto tu ,Sasa wako na reality kuabudu abudu lakini usilazimishe mtu aamini unachoabudu. Hivi huyo Mungui akishuka leo akahukumu je utapona kwa kuwa ulikuwa kwenye serikali iliyoendeshwa kwa mujibu wa vitabu vyake au wewe ndio utahesabu mambo yako binafsi. nadhani kuna plot ya kutuchanganya ili watu fulani wapate faida kwetu.
 
Kwani huko Tanganyika vipi?

Kwani kwa mujibu wa nchi zinazofuata rules of law (Utawala wa Sheria ) lazima upatikane ushahidi wa kutosheleza kabla kuwafikisha mahakamani.
Mada husika ni kuhusu visiwani, so sijaona umuhimu wa wewe kufanya comparative analysis na tanganyika coz hata ukipata jibu kwa approach hii unayotumia kamwe hautapata jibu sahihi la mada husika.
 
Mwanasheria mkuu wa Z'bar amesema watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja visiwani hapa hawawezi kutiwa hatiani bila ya kuwapo kwa ushahidi dhidi yao................................ Chanzo: nipashe.
kichwa cha habari na yaliomo ndani ni tofauti, hatuoni hapo alipo sema kuwa vitendo hivyo c kosa. wewe ndio unasema hivyo.
 
Mada husika ni kuhusu visiwani, so sijaona umuhimu wa wewe kufanya comparative analysis na tanganyika coz hata ukipata jibu kwa approach hii unayotumia kamwe hautapata jibu sahihi la mada husika.
Kwa hiyo Tanganyika isitajwe! maana nako kumejaa mabarazuli
 
Waarabu au hata wapemba wanapenda kunanilii wake zao mpaka kinyume na maumbile...duh sasa wanahamia kwa wanaume wenzao...
 
"Katu! katika nchi yetu Zanzibar hatuna tabia hizo ati. wafanya vile wabara wale"
Katika maeneo ya chini ya jangwa la sahara Ukiondoa mombasa kwa ugomola Zbar inafuatia kwa usodoma.
 
Waarabu au hata wapemba wanapenda kunanilii wake zao mpaka kinyume na maumbile...duh sasa wanahamia kwa wanaume wenzao...

................... Anglikani wameruhusi na kulibariki jambo hili na wana Askofu shoga anasimama madhabahuni, Obama karuhusu jeshi lake la Marekani wajivinjari na ushoga, wewe wapemba na waarabu ndio wanao kupa shida !?
 
Utapataje hao watu wasio pungua watatu, meaning wanaume watatu AU wanawake SITA? Au na hao mashaidi ndio hivyo tena?

Huu si ndio usanii ninao usema kuwa wanafagilia ushoga?
............... Makamba alisema hizi ni tuhuma tuu ! Mafisadi wako huru na wana haki mpaka watiwe hatiani kwa ushahidi usio na shaka ! Ndio maana Richmond hakuna hata mtu mmoja kafungwa/katiwa ndani ! (utawala wa Sheria)
 
Ni kweli kabisa wasanii wa kiume wanaongoza kwa kumegwa bara je na wao ni wazenj?
 
................... Anglikani wameruhusi na kulibariki jambo hili na wana Askofu shoga anasimama madhabahuni, Obama karuhusu jeshi lake la Marekani wajivinjari na ushoga, wewe wapemba na waarabu ndio wanao kupa shida !?
hao waanglikana na wamarekani ni wajinga tu.. Halafu, kwanza mimi sio mmarekani. Pili, mimi sio m'anglikana..Tatu, huo ni ukweli, nasiki zenji kuna pool table za height ndefu maana watu hawaaminiki huko. (Ali...siipondi dini yako, nakujua sana mkuu)
 
Mwanasheria mkuu wa Z'bar amesema watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja visiwani hapa hawawezi kutiwa hatiani bila ya kuwapo kwa ushahidi dhidi yao................................ Chanzo: nipashe.
sodoma na gomora itajirudia kama zanzibar serikali inalegezea..jamani tumwombe mungu atusaidia
 
Swali:

Takriban 99% ya Wazanzibari ni Waislam, if I am correct, correct me if I am wrong. Ingawa ni asilimia kubwa namna hiyo, Zenji inaongoza kwa mashoga, kwanini? Je, ushoga unafumbiwa macho na islam?

Nyinyi si mulikuwa munaficha mpaka sasa munataka kumshitaki Pope, imekuwaje?
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom